johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,082
- 164,409
CAG mstaafu Prof Assad amewafananisha Viongozi wa sasa na ile hadith ya Babu Paka ambaye alijifanya ni Mwema kumbe ni Ulaghai wa kuwatafuna Panya Kimya Kimya Mmoja baada ya mwingine
Assad anasema Babu Paka alitengeneza Tasbihi kubwa iliyopambwa na vichwa bandia Vya samaki akawa anaichezea chezea mikononi Panya walipomuona wakaamini Babu Paka amekuwa Mwema hali hata samaki
Kumbe Nyuma ya pazia babu Paka alikuwa anakamata Panya Mmoja baada ya mwingine na " kuwatafuna"
Assad ametahadharisha Kuwa Wananchi wanaona kila kinachoendelea na Huko mbele nchi hii hapatatosha
Source: The Chanzo
Dongo gizani