Ujambo lakini.....Kupata followers insta ni rahisi Sana anzisha page ya udaku au ya mapenzi uwe Una post picha za ajabu ajabu utapata follower's mpka uta wa block ila hao followers wa tifa ni kwa sababu watu walitaka kuona sura yake kipindi kilee alipozaliwa kampita followers hadi samata Tanzanian are not serious at all
eti Tiffa Dangote,
hivi mwanaume rijali anaanza vipi kumpa mtoto wake ubini wa jina la mtu mwingine kabisa kwasababu tu mwenye jina hilo anapesa?
Sijui kwako wewe lakini mi siwezi Kufollow mtu ambaye hanifahamu ili eti nione picha. Nikimfollow Diamond basi nataka kujua show zake, kama katoa nyimbo, collabo n.k. Namfollow Shaffi sababu anachambua na ku-update soka, kama akibadilika akawa anapost tu picha yuko baa mara beach mara home, nam-unfollow immediately hana tena maana kwangu.
K = Kilo = 1000. Kwa mfano, (Kilo)grams = (1000)grams, (Kilo)meters = (1000)meters etc; so 261k = 261 (1000) = 261,000Hivi ukisema 261k hii K ni kitu gani maana silewi mimi.
Tena huko instagramu wenye account za matusi na waandika ujinga ndo wana followers wengi. Anayetoa elimu za mambo muhimu unakuta hana followersNa ukitaka kufahamu idadi ya wajinga nchi hii basi hicho chaweza kuwa kipimo sahihi cha utafiti wako.
Kumbe rahisi hivo ee,ngoja nami nikafungue yangu.... Utanifolo lakini?Kupata followers insta ni rahisi Sana anzisha page ya udaku au ya mapenzi uwe Una post picha za ajabu ajabu utapata follower's mpka uta wa block ila hao followers wa tifa ni kwa sababu watu walitaka kuona sura yake kipindi kilee alipozaliwa kampita followers hadi samata Tanzanian are not serious at all
Na ukitaka kufahamu idadi ya wajinga nchi hii basi hicho chaweza kuwa kipimo sahihi cha utafiti wako.
Kwanini ushangae huyo wakati hata marekani kwa wenzetu wakina kardashians wanazaidi ya followers mil 50 (yani zaidi ya watanzania wote, na hakuna la muhimu wanaliifanyia jamii bora hata shilole anawaburudisha watu)
Diamond anakufahamu? Shaffi anakufahamu? Na wote unaowa follow wanakufahamu?
Tafadhari ndugu, usiandike tu kwavile maneno bure. Tanzanians are not serious at all kwasababu ya Instagram? Tuombe samahani wananchi wa Jamhuri hii.