Aende TBC mkuu atapata anachotaka.Clouds ni redio ya kiburudani zaidi, na kuna vipindi ambavyo theme yake ndio ina determine presenter ataongeaje na ataongea nini, hivyo nadhani kama hupendi bora ukaacha kusikiliza kwakuwa kuna wengi wanaofurahia na ni kati ya stesheni zinazosikilizwa sana na watu wengi hapa nnchi
Ukitaka u-serious sana labda kwenye redio nyingine.
Kama unataka CV zao kamuulize Askofu Gwajima ndo anaweza hizo habari za umbea..!!Habari
Nataka kujua cv's za hawa watangazaji wa asubuhi maana nawasikia wakionge bila kupanga nini cha kuongea.
nadhani kabla ya kuingia kwenye kipindi lazima wapate angalau wasaa wa kuandaa mfano DW wanaandaa kipindi saa moja au zaidi kabla ya kwenda hewani ndio maana husikii mambo ya kuchukiza kwenye redio.
Nadhani uongozi wa clous upate management nzuri ili kuzuia maneno yanayoudhi kwenye radio kwa wafanyakazi wao.
mtu kama Millard Ayo, anafaa ata kufanya kazi CNN ila hawa wengine nahisi ni cheap labor. kwenye vipind vyao havina mvuto na kuongelea hisia zao, misimamo yao, na upeo wao.
Wanajua kila kitu imani, siasa, hisa, udaktari, upolisi, udereva, sheria, ujasiriamali, uganga, umakenika, ufundi umeme, uinjinia sasa sijui wamesoma shule gani multi purpose
Mbadilike
Sifa nyingine zote uko sahihi ila kwa hapo RED siku hizi pamebadilika, wanataka uwe na uwezo wa juu wa kurusha VIJEMBE Kwa MAKONDA/CCM na kupiga mziki wa MAJUNGU na hakikisha kila mwenye BIFF na RUGE na wewe unakuwa naye BIFF la NGUVUCV muhim pale clouds ukubali kumsifia Rais na serikali yake
Pili Elimu yako isiwe ya uandishi wa habari au mtangazaji aliesomea taaluma hiyo
Tatu ujitahidi kuwa kiherehere kwa Mr Ruge
Nne uwe Mc au uliwahi kuwa Mc pahala popote
Tano ufaham miziki ya Singeri na umbea wa mtaani
Sita uwe tayari kufanya Kazi bila mkataba
Saba uwe MHAYA au mchaga
Nane hawaitaji maelezo mengine kama elimu yako ni kidato cha nne hata kama cheti chako umefoji
Mkuu hebu tuanze na ya kwako.weka mezani ndio kuhoji hizoHabari
Nataka kujua cv's za hawa watangazaji wa asubuhi maana nawasikia wakionge bila kupanga nini cha kuongea.
nadhani kabla ya kuingia kwenye kipindi lazima wapate angalau wasaa wa kuandaa mfano DW wanaandaa kipindi saa moja au zaidi kabla ya kwenda hewani ndio maana husikii mambo ya kuchukiza kwenye redio.
Nadhani uongozi wa clous upate management nzuri ili kuzuia maneno yanayoudhi kwenye radio kwa wafanyakazi wao.
mtu kama Millard Ayo, anafaa ata kufanya kazi CNN ila hawa wengine nahisi ni cheap labor. kwenye vipind vyao havina mvuto na kuongelea hisia zao, misimamo yao, na upeo wao.
Wanajua kila kitu imani, siasa, hisa, udaktari, upolisi, udereva, sheria, ujasiriamali, uganga, umakenika, ufundi umeme, uinjinia sasa sijui wamesoma shule gani multi purpose
Mbadilike
Mkuu nikimutoa huyo unanishaur nimuweke nani kati ya
Muweke boss waoMkuu nikimutoa huyo unanishaur nimuweke nani kati ya
Bashite
Polepole
Mrisho gambo
Maana mm kwenye avatar yangu naweka nisivyovipenda
Muweke boss waoMkuu nikimutoa huyo unanishaur nimuweke nani kati ya
Bashite
Polepole
Mrisho gambo
Maana mm kwenye avatar yangu naweka nisivyovipenda
Ukitaka CV za watangazaji wa Clouds Media Group ni kama kutaka cheti cha Bashite Clouds hawana watangazaji wana Ma MC si watangazaji
Nimecheka mpaka stress za KUISOMA NAMBA zimepungua!pale nadhani mwenye Elimu ya juu Ni bonge tu ana basic certificate ya hotel
Huyu ana malti talent toka clouds haijaanzishwa na ndio maana nansukuma mkoko mkali kuliko hata hao mabos zakeSema mmoja baada ya mwingne tukupe cv zao ,,ila masoud ndio kilanja mwenye akili zaid power breakfast