Pongezi ziwafikie azam Tv

Wanachofanya Azam Ni Kuhamasisha Ununuaji Wa Furushi Kipindi Hiki Ambapo Mpira/soccer Liko Likizo, Kumbuka Ligi Ya Spain Vpl Ya Tz Na Epl Kupitia Tv 1 Zimeisha, Na Walevi Wa Soka Ndio Walipaji Wazuri, I Swear Offer Hii Itaisha Soon Na Itakuwa Kama Zamani
 
Hata kama sio show zote ni mpya ila AzamTV wamepitiliza maana hata kama wananunua channel inakuwepo ila show zake dah!
Mi nafikiri hakuna sababu ya kuwalaumu Azam kwa hizo nyongeza za channel zao mpya kwao, kwa kuwa hizo channel hazipo kwenye library zao, wao wanakuwa kama link ya hizo channel kama BBC au CNN au AJE, huwezi sema wana vipindi vya zamani. Wa kuwalaumu ni hao wenye channel kama NatGeo, au NatWild au Bet kwa kutuletea vipindi vya zamani, yaani hao hata ukienda kwenye DSTV mambo ni ya zamani, japo sio vipindi vyote ni vya zamani, kwa vile wao wana broadcast kama documentary au series au movie hizo sio lazima ziwe mpya, ni mpya kwa wengine na zamani kwako.Hongereni Azam, mmenipa sababu ya kuendelea kuwa nanyi
 
Ninasubiri kwa hamu haya mashindano ya SPORT PESA ndondo cup nione kama ITV wana vifaa vya kisasa kuonyesha michezo kama AZAM wasije wakaonyesha mpira ambao hauna hata re play ya slow motion , au wanaweka zile za kizamani za kukatakata
 
Wengine wapenz wa matamthilia ya kiphilipin hakuna hzo mishe azam tv tukiangalia taarifa ya habar tunalala hakuna jipya
 
Back
Top Bottom