Ni vibaka.Huwa hawapendi ukweli.C C M Watakataa
Watalala na viatu leoView attachment 3210107
Kwa hakika katika siasa, adui wa jana ni rafiki wa kesho.
CCM , hasa bwana Nchimbi, lini mtampongeza Mwenyekiti mpya wa CHADEMA?
Kuna watu jzi hapa wamepitishiwa watu kibabe 😄Hiyo ndo Demokrasia
Akishapongezwa na mama Edward inatoshaView attachment 3210107
Kwa hakika katika siasa, adui wa jana ni rafiki wa kesho.
CCM , hasa bwana Nchimbi, lini mtampongeza Mwenyekiti mpya wa CHADEMA. Tundu Antipas Lissu?
Mimi kada lakini CCM wajifunze katika uchaguzi huu wa CDM.Kuna watu jzi hapa wamepitishiwa watu kibabe 😄
Ova
Watu watachanga mpaka utashangaa. Halafu ruzuku ipo. Kadi zitauzwa. Ni suala la muda tu Chadema will become billionaires.Hayawi hayawi sasa yamekuwa,...
Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Sana Mh. Lisu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, pongezi hizi zinaenda sambamba kwa viongozi wote wanaomfuatia akiwemo Makamu Mwenyekiti wake Mh. John Heche na wote watakaofuatia .
Wadau mnaoitakia mema CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu A. Lissu,
Naomba tuweze kutoa maoni yetu namna gani Chama kinaweza kujiendesha kwa tija na kutwaa madaraka kwa nafasi mbalimbali zinazokuja katika chaguzi zijazo.
Nitafurahi kusikia huyu kijana amepata nafasiNaunga mkono hoja