chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,807
- 26,162
Hayawi hayawi sasa yamekuwa,...
Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Sana Mh. Lisu kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, pongezi hizi zinaenda sambamba kwa viongozi wote wanaomfuatia akiwemo Makamu Mwenyekiti wake Mh. John Heche na wote watakaofuatia .
Wadau mnaoitakia mema CHADEMA chini ya Mwenyekiti Tundu A. Lissu,
Naomba tuweze kutoa maoni yetu namna gani Chama kinaweza kujiendesha kwa tija na kutwaa madaraka kwa nafasi mbalimbali zinazokuja katika chaguzi zijazo.