Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 42,404
- 74,178
Kuiga mambo kuna waponza.Akiniona nawanunulia bia na yeye anataka afanye hivyohivyo.Nakunywa kila slku na yeye anatamani iwe kwake.Ujinga.Anajua mimi natoa hela wapi?Nenda kula bia kwa akili mingi.Halafu kwenye bia kuna stori za uongouongo asizifuatilie atafilisika tu.😂😂😂😂Hivi nyie mnakunywa pombe gani hizo zinafikia hadi ku control maisha yenu na maamuzi yenu. Inafikia hatua hadi inakuletea financial insecurity.
Nafikiri ni ulimbukeni na kutojitambua. Mkuu Jifunze kusema HAPANA