bcsolution
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 394
- 176
2016 ni si 2015 rekebishaTume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), imetangaza uchaguzi wa Zanzibar kurudiwa tarehe 20/03/2015 baada ya ule wa awali kufutwa.Sababu na mazingira ya kufutwa uchaguzi wa awali ni kila mtu na mtazamo wake.
Je, kwa mtazamo ulionao,unaunga mkono hatua yoyote ile ya kurudiwa kwa uchaguzi huo?