Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
# Maandamano hayo uharamu wake ni pale Polisi watakapozuia - ikizuiliwa msilazimishe mkasababisha vifo kama ilivyotokea kwa Acquiline.

# Mimi na ninyi bima zenu zinaishia ngazi ya kata wkt viongozi walioitisha maandamano matibabu yao ni SA, India, US nk nk.

# Walioitisha maandamano wengi wao wana makazi US, UK, Dubai, Belgium nk nk wkt sisi wengine makazi yetu yako Mbagala tu.

# Wanaoitisha maandamano benki zao zimejaa ukwasi wkt sisi kwenye akaunti za M-pesa kumejaa songesha. Na salio letu tunaongeza kwa Nipige tafu.

Huu ni ushauri tu kwenu, kama huna chefu'cha ruguru susia maandamano!

Ngaika Ndenda
Comment ya kiwendawazimu hasa!

Hawa ndio watu waliostahili kuwepo Mirembe wanapata matibabu, wao wanakuja kupoteza mida JF.

Jamani JF ni kwaajili ya watu walio wazima wa akili, ninyi wagonjwa wa akili, hapa siyo mahali penu.
 
Back
Top Bottom