Kwani hawawezi kukaa mezani na kuelewana? Mbona juzi walikuwa wote ikulu wakinywa juisi, hivi hawaoni kwamba watu wasio nahatia wanateseka?
Leo hii!
Na safari mkikimbilia bongo msitegemee tutawaacha mkizurura ovyo mitaani km kipindi kile,tushawaandalia kambi yenu na viturubai vya kumwaga,mtaishia huko camp km tunavyowahifadhi wakimbizi wa nchi zingine,nyang`au wahed nyieHapa kwetu hata yule jamaa wenu mnayemuogopa kama ukoma anayeitwa Kova hawezi jimudu hapa. Huwa ni shughuli, lazima kieleweke hadi wapate haki yao. Patamu aisei, tunajionea movie.
Na safari mkikimbilia bongo msitegemee tutawaacha mkizurura ovyo mitaani km kipindi kile,tushawaandalia kambi yenu na viturubai vya kumwaga,mtaishia huko camp km tunavyowahifadhi wakimbizi wa nchi zingine,nyang`au wahed nyie
Kwani hawawezi kukaa mezani na kuelewana? Mbona juzi walikuwa wote ikulu wakinywa juisi, hivi hawaoni kwamba watu wasio nahatia wanateseka?
Na we utakuwepo mkuu?Hakuna pepo mkuu, watu wanapigania haki zao, bomu za machozi na risasi hazitafanya watu kuwacha kupigania haki. mambo ya kawaida sana.
Mihemuko tu, kwani shida ya iyo iebc ni nini. Mwenye maelezo yanoeleweka kuhusu iyo iebc aweke hapa.
Wacha kutia chumvi Sasa migori pekee ndio kuna vital HAPO NI KISUMU na hyo ni Picha ya 2007 hata logo ya MPESA Hapo Chini mzee
Tatizo wanasiasa wanapokaa mezani wanaishia kuwa wasanii maana wote wanaibuka kila mtu na kauli zake na inakua ngumu kujua nini walichokubaliana. Hadi sasa hatujajua nini azimio la hicho kikao cha ikulu, kila mtu alitoa taarifa tofauti.
Binafsi siungi mkono haya maandamano maana tatizo ni kwamba humo ndani kunakua na wahuni wanaojificha na kufanya yao, wakati wananchi wa kawaida hawana haja na vurugu ila kuandamana kama ilivyo ruhusiwa kwenye katiba na kwa amani.
Pia kuna juhudi zinazoendelea bungeni ili kutatua issue ya IEBC, hivyo sioni haja ya maandamano.
Lakini pia naunga mkono haki ya Wakenya kuandamana, ni haki yao na lazima polisi waiheshimu na kulinda ili waandamane kwa amani bila vurugu. Hivyo waruhusiwe kuandamana hadi kieleweke.
Leo hii!
Hivi lazima waandamane, hakuna njia zingine mbadala? Mie binafsi hua sipendi watu wanaondamana. Sorry
soon tunawasubir...mikakati ya kambi lenu tayariNa safari mkikimbilia bongo msitegemee tutawaacha mkizurura ovyo mitaani km kipindi kile,tushawaandalia kambi yenu na viturubai vya kumwaga,mtaishia huko camp km tunavyowahifadhi wakimbizi wa nchi zingine,nyang`au wahed nyie
Isaack hang'oki kwa watu kunywa juisi huyu nahisi ana undugu na jecha!Kwani hawawezi kukaa mezani na kuelewana? Mbona juzi walikuwa wote ikulu wakinywa juisi, hivi hawaoni kwamba watu wasio nahatia wanateseka?