Polisi watakiwa walipe gharama za umeme wenyewe

Walipashwa kulipa pango pia. Askari ni kazi kama kazi zingine. Hizo pesa ni vyema kuwakatia bima ya maisha na afya. Walipe maji umeme na pango. Serikali inawalea police kama watoto why???!!
 
Serikali za awamu zilizopita ambapo gharama za umeme zilikuwa zikilipwa na Serikali

Mbaya sana kumbe serikali zilizopita zilikuwa zinawabagua watumishi wake wenyewe, haya sasa hebu tutazame cinema kama walikuwa wanalipiwa na serikali still wakawa wanakula rushwa sijui itakuwaje baada ya kuanza kujilipia wenyewe......,
 
Back
Top Bottom