BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,133
Ahsante sana Mkuu, ni maagizo ya Magufuli ili kufanikisha ubakaji wa demokrasi nchini. Polisi hawana mamlaka yoyote yale ya kuzuia vyama vya upinzani nchini ambavyo vimepata usajili wake kihalali na kuruhusiwa kufanya shughuli za kisiasa nchini ikiwemo kufanya mikutano yao au kuandamana.
polisi nani kawapa hiyo kazi,wanaachaa kukamata vibaka na majaambazi wanakimbizana na wanasiasa ,bora kuwa baamedi kuliko kua polisi