Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,689
- 119,326
Ili NSY waitwe lazima kwanza kuwepo na a political will ya quest for search, ya kumtafuta Ben Saanane, lakini kama ni kazi ya "the operatives" na imeelezwa "ametangulia mbele ya haki" then it's a known case, no one can call NSY kwa a known issue!.Sasa Kubenea kama kasema Polisi walio na faili hilo wanashindwa nini kumpata? Hoja ya Andrew na Paskali ni kuwa sasa tunahitaji msaada wa Scotland yard kujua yuko wapi Ben?
Hoja hii mnaweza kuidharau lakini wanaweza kuja na kuvumbua mambo makubwa yanayo endelea mpaka hamu ya watu kwa watu fulani ikawaisha kabisa. Imewahi kujitokeza nchi nyingi.
Paskali