Andrew Nyerere
JF-Expert Member
- Nov 10, 2008
- 3,007
- 2,445
hahahaha mmbona hamsemi ukweli kuwa Mbowe na Kubenea anajua Ben alipo.Naunga mkono hoja, Scotland Yard waitwe kusaidia, hata BOT ilipoungua, polisi wetu walishindwa hivyo Scotland Yard waliitwa. Na rushwa ya Rada ya BAE pia tulishindwa Waingereza wenyewe wakafanya kila kitu, hadi aliyehonga akakiri kuhonga ila akaomba asitoe majina bali alipishwe tuu faini kwa non disclosure na ndio hiyo cheji ya rada.
Hata kampuni ya Kagoda iliyokwapua bilioni 40 za EPA tumeshindwa kuichunguza hadi kesho, hivyo ni kweli tuombe msaada watusaidie na hata suala la MV Bagamoyo wanaweza kusaidia!.
Paskali
mi naogopa zisijepigwa kavukavu siku moja. zile za vagi mchangani baada ya chandimu!Mpaka hii miaka 10 ya magu iishe...zitakuwa zimechezwa movie nyingi..
Macho yangu tuu!
Scotland yard wanini wakati Kubenea amesha onesha kuwa anajua alipo BenMambo yaliyoandikwa katika gazeti la Mwanahalisi yachukuliwe kama yalivyoandikwa;kwamba Ben Saanane alisema PhD ya Magufuli ni forgery. Imeandikwa na mtu mmoja anaitwa Phillip.
Baada ya hapo Ben Saanane kusema hivyo ametumiwa message za vitisho, kutishiwa kumezwa na chatu, amekimbia ameenda kujificha.
What are we finding so difficult to understand?
Wewe naye,mbowe alikukosea nini? Alikuchukulia mke?hahahaha mmbona hamsemi ukweli kuwa Mbowe na Kubenea anajua Ben alipo.
Hivi Endru ndio Andrea?Andrew vipi tena!
huenda walichukuliana si wajua tena dunia yetu hiiWewe naye,mbowe alikukosea nini? Alikuchukulia mke?
Akae ndani kwa kosa gani na kwa kifungu kipi cha sheria ipi, hivi kutoonekana ni kosa?Bavicha acheni kutuchezea akili, Kama Taifa tunachangamoto nyingi za kuzihangaikia sio hizi sanaa za Mbowe na Saanane.
Na huyo Saanane siku akijitojeza hadharani lazima akae Ndani kwa muda wa kutosha ili mkitangaze vizuri chama chenu
Hatutaki siasa za kisanii nchi hii.!
Ni kumsaidia ili siku nyingine asijiteke tena.!Akae ndani kwa kosa gani na kwa kifungu kipi cha sheria ipi, hivi kutoonekana ni kosa?
Mbona kuna wengine wamesema maneno makali zaidi na bado wanaonekana????Mambo yaliyoandikwa katika gazeti la Mwanahalisi yachukuliwe kama yalivyoandikwa;kwamba Ben Saanane alisema PhD ya Magufuli ni forgery. Imeandikwa na mtu mmoja anaitwa Phillip.
Baada ya hapo Ben Saanane kusema hivyo ametumiwa message za vitisho, kutishiwa kumezwa na chatu, amekimbia ameenda kujificha.
What are we finding so difficult to understand?
Mbona kuna wengine wamesema maneno makali zaidi na bado wanaonekana????
Kasema yupo wapi?Scotland yard wanini wakati Kubenea amesha onesha kuwa anajua alipo Ben
Sasa Kubenea kama kasema Polisi walio na faili hilo wanashindwa nini kumpata? Hoja ya Andrew na Paskali ni kuwa sasa tunahitaji msaada wa Scotland yard kujua yuko wapi Ben?Scotland yard wanini wakati Kubenea amesha onesha kuwa anajua alipo Ben