Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
TAARIFA KWA UMMA

Jana Septemba 6,2024 zilisambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa jioni maeneo ya Tegeta Jijini Dar es Salaam, mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ally Mohamed Kibao, akiwa safarini na basi la Tashrif alichukuliwa na kushushwa toka kwenye basi hilo na watu ambao hawakuweza kujulikana majina yao.

Aidha, leo Septemba 7,2024 tumesikia taarifa kuhusiana na tukio hilo kupitia vyombo vya habari iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo John Mnyika.

Jeshi la Polisi, lingependa kutoa taarifa kuwa, lilipokea taarifa hiyo na kuanza uchunguzi wa kubaini kilichotokea, chanzo chake na watu waliohusika ni akina nani.

Imetolewa na:

David A. Misime - DCP

Msemaji wa Jeshi la Polisi

Makao Makuu ya Polisi

Dodoma, Tanzania

View attachment 3089524

Pia soma
Msituambie alikuwa anafsnya mkusanyiko usio halali ndani ya basi akiwa na wenzake 65!
 
Ni kichaa tu ndio atawaamini hao matapeli.
IMG-20240905-WA0000.jpg
 
TAARIFA KWA UMMA

Jana Septemba 6,2024 zilisambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa jioni maeneo ya Tegeta Jijini Dar es Salaam, mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ally Mohamed Kibao, akiwa safarini na basi la Tashrif alichukuliwa na kushushwa toka kwenye basi hilo na watu ambao hawakuweza kujulikana majina yao.

Aidha, leo Septemba 7,2024 tumesikia taarifa kuhusiana na tukio hilo kupitia vyombo vya habari iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo John Mnyika.

Jeshi la Polisi, lingependa kutoa taarifa kuwa, lilipokea taarifa hiyo na kuanza uchunguzi wa kubaini kilichotokea, chanzo chake na watu waliohusika ni akina nani.

Imetolewa na:

David A. Misime - DCP

Msemaji wa Jeshi la Polisi

Makao Makuu ya Polisi

Dodoma, Tanzania

View attachment 3089524

Pia soma
polisi wa tanzania wanatumia mavi kichwani kufikiri

Mungu nisamehe
 
kazi ya kijambazi ya green guard hiyo wakishirikiana na tiss uchwara. mimi kila siku nitasisitiza tz ni nchi ya kipumbavu kwa kiwango cha tbs
 
Ufike wakati Jeshi la Polisi wawe serious kuhusu suala hili. Hivi kutokana na Hali mbaya kabisa ya kiusalama ya Watu kutekwa, kuteswa, kupotezwa au kuuawa bado Jeshi la Polisi halioni sababu ya kuanzisha Operesheni maalumu kabisa ya kuweza kupambana na Uhalifu huu? Wanangoja nini kufanya hivyo? Je, Jeshi la Polisi halioni kwamba kwa kiasi kikubwa Sana kuwa Wananchi (Raia) wengi sana tayari wamepoteza imani dhidi yao kutokana na kushamiri kwa matukio haya? Wanasubiri nini kujisafisha kutokana na Jeshi Hilo kuhusishwa moja kwa moja na matukio ya utekaji Watu hapa nchini Tanzania?
Ukitekwa pambana mmalizane palepale.
 
Back
Top Bottom