Polisi Kitengo cha Dawa za Kulevya Inawashikilia maofisa 2 wa TRA kwa kujihusisha na magendo

Kesi ndogo sana kwa hao watumishi, wakifika huko wawaambie kama TRA ni TFDA, TBS au Wazuia madawa wa kulevya. Na kama walipewa mafunzo yoyote juu ya viwatilifu hivyo au ni KODI TU. Kama documents za waagizaji zipo na wakati wa kulipa kodi kuna TIN si wakawakamate walioagiza?.
Entry point zote duniani kuna watu wa kuzuia madawa ya kulevya, hili sio jukumu la mamlaka ya kukusanya kodi hata siku moja. Hapa hawa jamaa wanamficha alieagiza huo mzigo kwa kuwafunga wafanyakazi wa TRA. Watanzania hebu muwe mnazungusha vichwa.
 
Tatizo hujui serikali inafanya kazi vip wala TRA.
Inawezekana kabisa kwenye declaration imeandikwa precursor,afisa nae akaweka remarks kwamba kaziona hiyo sumu.Lazima aende na maji,kwa sababu TRA wana wigo mpana wa kuzuia mzigo kuingia kuliko tfda.
 
Chemikali ya precusor ndio nini.......tajeni kwa majina rahisi hizo chemicals zinazotumika kutengeza madawa ya kulevya ili watu waelimike......inawezekana wengine wanazibeba bila kujua.......elimisha jamiiii
One of the ingredients that enables the making of the final product
 
Kesi ndogo sana kwa hao watumishi, wakifika huko wawaambie kama TRA ni TFDA, TBS au Wazuia madawa wa kulevya. Na kama walipewa mafunzo yoyote juu ya viwatilifu hivyo au ni KODI TU. Kama documents za waagizaji zipo na wakati wa kulipa kodi kuna TIN si wakawakamate walioagiza?.
Entry point zote duniani kuna watu wa kuzuia madawa ya kulevya, hili sio jukumu la mamlaka ya kukusanya kodi hata siku moja. Hapa hawa jamaa wanamficha alieagiza huo mzigo kwa kuwafunga wafanyakazi wa TRA. Watanzania hebu muwe mnazungusha vichwa.
Ni rahisi kusema kwenye mitandao kuliko kuongea kwa kuulizwa maadili ya kazi. Kila kazi ina taratibu zake
 
Hata iweje lazima Makonda apewe sifa zake kwa kuanzisha zoezi hili, hata kama alikosea pa kuanzia, lazkini naamini ndiye aliyestua ngazi za juu. Ngazi za juu walikuwa bize na utumbuaji, Faru john, etc.
 
Hapa namaanisha they should arrest alieagiza hawa wa TRA ni rushwa au kuyokua na uelewa. Watu wa kuzuia madawa walikua wapi na je mzigo ulilipiwa kodi bila documents?
 
TRA huwa wanautaalamu kwenye maswala ya kodi. Hapa mamlaka ya chakula na dawa (TFDA) ndo wanautaalam zaid kuhusu hizo chemical. Kama walikagua mzigo na kuurusu officers wa TRA watakua safe kabisa
 
Ni rahisi kusema kwenye mitandao kuliko kuongea kwa kuulizwa maadili ya kazi. Kila kazi ina taratibu zake
Kinachofanyika hapo ni kumficha alieagiza mzigo mtumish wa tra atatambuaje hio ni chemicali ya kutengeneza unga?wkt mamlaka za kiuchunguzi zipo?Tra kazi yao ni kuhakikisha taratibu za ulipaji kodi zimefuatwa c kuchunguza kemikali.hao wanawaficha hao wauzaji watumbuliwe wao kwanza wawataje
 
Serious? Unaongelea TRA hawa au wengine? Upitishe mzigo bila wao kujua?
 
TRA huwa wanautaalamu kwenye maswala ya kodi. Hapa mamlaka ya chakula na dawa (TFDA) ndo wanautaalam zaid kuhusu hizo chemical. Kama walikagua mzigo na kuurusu officers wa TRA watakua safe kabisa
Inawezekana huo mzigo hata kodi haikulipwa hata hao TFDA au mamlaka nyingine inawezekana zilifichwa kuhusu huo mzigo kuingia
 
Kama haukulipiwa kodi ndo kutakua na kesi ya kujibu. But kama umelipiwa kodi mwenye uelewa wa kutambua athar za mzigo ni officer wa TFDA au officer from chemical department. Hawa ndo wana authorize import ya chemicals na drugs. TRA ni maswala ya kodi na kuchek procedure zmefatwa
 
Kesi ndogo sana kwa hao watumishi, wakifika huko wawaambie kama TRA ni TFDA, TBS au Wazuia madawa wa kulevya. Na kama walipewa mafunzo yoyote juu ya viwatilifu hivyo au ni KODI TU. Kama documents za waagizaji zipo na wakati wa kulipa kodi kuna TIN si wakawakamate walioagiza?.
Entry point zote duniani kuna watu wa kuzuia madawa ya kulevya, hili sio jukumu la mamlaka ya kukusanya kodi hata siku moja. Hapa hawa jamaa wanamficha alieagiza huo mzigo kwa kuwafunga wafanyakazi wa TRA. Watanzania hebu muwe mnazungusha vichwa.

Huwezi kujua hao maafisa wa mamlaka ya mapato walikamatwa katika mazingira gani?
Elewa pia kuwa mpaka sasa kuna watu kadhaa ambao ni wauzaji wa kati na chini wanashikiliwa na Polisi wanatoa mwelekeo.
Subiri watu wapo kazini.
 
One of the ingredients that enables the making of the final product
Nafikiri zipo specific precursors za hizo dawa za kulevya zinazozungumziwa......kama zinafahamika ni vizuri watu waelimishwe.......mfano mzuri ni Pseudoephedrine and ephedrine which are the main precursors used for production of methamphetamine ambayo ni mojawapo ya dawa ya kulevya.........sasa mtu unaweza kubebeshwa zigo la SUDAFED (Pseudoephedrine) ukaambiwa hizo ni kama Panadol tu tufikishie sehemu kumbe unaingizwa kwenye matatizo.......ni wakati wa jamii kueleweshwa ya kuwa dawa za kulevya si Cocaine na Heroine tu, na kuna dawa kama Pseudoephedrine tunazotumia tukipata mafua ambazo zinaweza kutumika kama PRECURSOR kutengeneza Methamphetamine ambayo nayo ni dawa ya kulevya..... na mifano iko mingi.......wataalamu karibuni

Drug precursors - Wikipedia
 
Mwenye mzigo mbona huyo kamanda hajamtaja?au wanamficha alieagiza hio kemikali.huyo kamanda nae ni jipu tu atumbuliwe
 
Back
Top Bottom