Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,607
- 45,718
Nimejaza online loss report nimelipia, nimekaa zaidi ya masaa 24 report not approved.
Mwaka jana nilijaza loss report ya vitu 4 nilipata report 2 instantly, vitu 2 vingine nilikaa wiki sijapata loss report. Sijaangalia kama walitoa au la. Imagine unakaa wiki moja bado panasoma not yet approved.
Tatizo liko wapi?
Kama mmeshindwa kuboresha basi ondoeni turudi kama zamani. Mambo ya kwenda vituo vya police kuripoti umepoteza line ya simu, kitambulisho na sijui tv watu hatutaki.
Polisi ukiwakuta kituoni wanakuwa miungu kabisa.