Polepole: Mshahara wangu CCM ni chini ya milioni moja

Uache ukuu wa wilaya kwa kazi ya mshahara chini ya milioni moja,sivituko hivi?.
 
UZALENDO KWA NCHI YAKE NDIO MAANA AMEKUBALI KUACHA UKUU WA WILAYA NA KWENDA KULITUMIKIA TAIFA KUPITIA UENEZI NA ITIKADI NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KILICHOUNDA SERIKALI ILIYOUNDA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA
hivi ww unajua maana ya uzalendo aua unatamka! kwenye katiba usimamie serikali 3 alafu badaye unajiunga kwenye chama kinachoamini juu ya serikali 2.sijawahi ona mzalendo ambaye anapingana na mawazo yake
 
Mbona kuna mgombea wa urais ukawa aliipinga katiba na ndio kamanda mkuu wenu sasa ivi
 
Hayo yameelezwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Humphrey Polepole alipokuwa akijibu maswali ya wananchi kupitia kipindi cha KIKAANGONI kinachoruka LIVE kila Jumatano saa 8 mchana kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV.

View attachment 454539
Uongo ni dhambi kama dhambi zingine mf. Kuuza unga, we kemea ufisadi wakati vitu vidogo unafanganya.

Hatuwez kukuamin wewe hata siku moja aisee uache mshahara Wa ukuu Wa wilaya 4milion na kitu uende kwenye Chini ya million? Acha uongo
Kuna mtu mwaka jana aliahidi kuweka hadharani Salary Slip yake,ilikuwa mapema mwaka jana
 
na allowances je?
 
UZALENDO KWA NCHI YAKE NDIO MAANA AMEKUBALI KUACHA UKUU WA WILAYA NA KWENDA KULITUMIKIA TAIFA KUPITIA UENEZI NA ITIKADI NDANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KILICHOUNDA SERIKALI ILIYOUNDA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA
Mdau,kuna mambo yamewapofusha sana vijana na watu wengine,moja ni hili la mtu kujiweka na umaskini.Hivi ww alokwambia kupokea mshahara mdogo ni uzalendo nani?Na alokwambia kupojea mshahara mkubwa si uzalendo nani?Kwa hyo walim ndo wazalendo namba moha hapa nchini!Na kama kupokea mshahara mkubwa si UZALENDO basi KIRANJA mkuu na wasaidiz wake si wazalendo.
 
Kuna mtu mwaka jana aliahidi kuweka hadharani Salary Slip yake,ilikuwa mapema mwaka jana
Pole pole mwogope mungu!
Kudanganya watu wazima kama watoto ni dhambi kubwa zaidi ya ufisadi wa Mali.
Hawa watu unaowaongopea wana watoto wana wake wanamaamuzi pia katika himaya zao!
 
ukinitaka nitaje vitu ambavyo navichukia maishani kwangu cha kwanza ni SHETANI na cha Pili ni huyu HUMPHREY POLEPOLE
hupaswi kumchukia mwanadam mwenzako kwani mapungufu aliyonayo yawezakuwa unayo pia.
 
Jamaa kapiga mdomo kupitia katiba mpya kwa kujifanya mzalendo,kumbe ilikua gia ya kuji expose,saiv kapewa shavu.
Hawa kweli si watu wa kuwaamini.pesa sio mchezo

Ungekuwa Wewe ungekataa? Tusiwe wanafiki wengi wanaomkosoa Pole pole wangepata wao hiyo Fursa wangefanya the same!
 
Back
Top Bottom