Polepole chunga usipayuke tena!

Hakuna hana ya kuwa Na takukuru!
Yaani mtu atake kutoka rushwa tena kwa rais halafu aachwe salama!
 
Hivi zile akili za Polepole wakati kuchambua maoni na mapendekezo ya katiba mpya zimeenda wapi?!!
 
Mpaka mtu anajaribu kumuona raisi wa nchi ili ampe rushwa na anamtajia hela atakayomhonga na anaachwa anaondoka salama ndiyo anakuja polepole kumwaga pumba zake huku uraiani, kama ni hivyo kuna tatizo kubwa sana
Pengine keshapewa karipio lakini ndio hivyo tayari keshaharibu...neno ni kama risasi likitoka limetoka
 
Samahani mkuu hivi hizi tetesi kuwa;
askari wa mwamvuli alihongwa kipande cha dhahabu haikua DOA?.
vasco da gama alihongwa suti haikua DOA?.
madoa yameanza muda na kila zama na kitabu chake!..
 
Samahani mkuu hivi hizi tetesi kuwa;
askari wa mwamvuli alihongwa kipande cha dhahabu haikua DOA?.
vasco da gama alihongwa suti haikua DOA?.
madoa yameanza muda na kila zama na kitabu chake!..
Yalikuwa madoa makubwa tu ila yalijulikana wazi mpaka rangi zake ...hili la sasa mmh
 
Kama nikweli si akamatwe huyo mtoa rushwa bwana yule si mtumbua majipu
 
Yalikuwa madoa makubwa tu ila yalijulikana wazi mpaka rangi zake ...hili la sasa mmh
Yani hawa wazungu tunaoaminishana wana akili wameshindwa jua weakness ya mkulu kwelii..hiki kitabu kipya hakihongeki kwa hela sijui kwanini hawashtuki tu!!
 
Back
Top Bottom