Bro huku kufa kwa njaa umetaka mwenyewe, sawa mtu hana hela ina maana ameshindwa kuuza hata makopo au kuomba hata watu wamsaidie. Lakini kule kama huna makazi unagandishwa so usizifananishe hizo situation mbili.
Hao madiaspora wanaotuma hela huku sio homeless kwakuwa wanakazi zao zinazowaingizia kipato. Homeless wa kule wengi wanakazi za kubangaiza. We mtu atume hela huku alafu hana hata uwezo wa kupanga.
Mtu utoke kula vumbi urudi tena kula vumbi utakua sio mzima.
Unajua remittances wanazotuma diaspora/homeless bongo kwa mwaka? Ni hela ya kuendesha bajeti ya wizara kadhaa hapo Tanganyika. Hao ndo homeless wa kiwanja endelea kujifariji.
Unaishi jimbo la Dallas jiji la Texas na ulikuwa mbeba box na bibi wa kizungu anaitwa michelle pellosi mstaafu katika bank ya first hirizon bank in Texas niendeleee?
Unaishi jimbo la Dallas jiji la Texas na ulikuwa mbeba box na bibi wa kizungu anaitwa michelle pellosi mstaafu katika bank ya first hirizon bank in Texas niendeleee?