Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,020
- 168,024
Kwa hiyo jamaa kashamwezesha Israel kumkatia tiketi ya kurejea kwa Muumba wake?
Mnhh.. Mkuu ya kweli haya...Mioyo imejaa simanzi,hofu imetawala hatuna hakika ya uhai wa huyu dada,(aliyemdanganya mumeweee)
Simu zake zote hazipatikani na mume hapokei simu za ndugu wote (wa kwake na wa mkewe pia)
Hilo ndio suala la msingi. Ukithibitisha kaliwa nje mpe uhuru akaliwe zaidi. Unavuta ngozi nyengine u aendelea na maisha.Wakuu mimi ni mtata sana ila amini siwezi kumpiga mwanamke nikifumania akiliwa na mwanaume mwingine..
Ningekuwa mimi hapo, kiroho safi kama nimethibitisha kwamba amechepuka
namruhusu tangu siku hiyo akaishi na huyo bwana mimi narudi kufanya mambo yangu.
Yawezekana dudu langu halimkidhi so alikuwa kwangu tu kwa sababu ya ndoa, hivyo nampa uhuru aende kwa huyo anaekimdhi na mimi kiroho naenda kutafuta mwingine wa kuendeleza gurudumu.
Sawa tajiri mwenye utajiri wako
Sawa sawa. Ila kama hutapenda watoto wako walelewe na baba mwingine pia ujiandae na lile swali la baba kwani mama yuko wapi? Ukweli ni kwamba hata mm ningechukua maamuzi kama yako na hilo swali kutoka kwa watoto ningelijibuWakuu mimi ni mtata sana ila amini siwezi kumpiga mwanamke nikifumania akiliwa na mwanaume mwingine..
Ningekuwa mimi hapo, kiroho safi kama nimethibitisha kwamba amechepuka
namruhusu tangu siku hiyo akaishi na huyo bwana mimi narudi kufanya mambo yangu.
Yawezekana dudu langu halimkidhi so alikuwa kwangu tu kwa sababu ya ndoa, hivyo nampa uhuru aende kwa huyo anaekimdhi na mimi kiroho naenda kutafuta mwingine wa kuendeleza gurudumu.
Hakika nazungumza kwa simanzi sana,sio utani hata kidogoMnhh.. Mkuu ya kweli haya...
Fijhoooimbombo nkafu
So wewe kuliwa siku moja sio kesi kwa mume/mtu wako sio? Hahaaa nimekupenda bureWanaume mna mioyo ya makuti mwanamke akisaliti afu kwa upande wenu usaliti mnaonaga ni jambo dogo sana ata muwe na mahawara 100 uko amtaki mwanamke aseme, asa jamaa kamla siku moja tu iyo ndo anampiga ivo
Waache tu ata sisi tuwe tunapata ladha za tofauti km wanavofanya MESo wewe kuliwa siku moja sio kesi kwa mume/mtu wako sio? Hahaaa nimekupenda bure
Mkuu wewe kiboko aiseeWaache tu ata sisi tuwe tunapata ladha za tofauti km wanavofanya ME