pole sana Maalim Seif

sirjohn

JF-Expert Member
Aug 6, 2014
767
678
kama umeya tu wa Ilala na Kinondoni ccm hawataki kuuwachia.. eti tunasubri waachie zanzibar, pole sana maalim self.

mahakama ile ile iliyotupa pingamizi la madai ya UKAWA the same mahakama imekubari pingamizi lile la CCM.
 
Huna lolote wewe, mbona mahakama zinatetea wananchi wanaobolewa na serikali inaheshimu? heshimu mahakama bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…