Pole sana Agnes Masogange kwa ajali

Kama duka lake lipo salama basi Mungu mkubwa...maana angetolewa tako kwakweli hilo jina la masogange angelikimbia
 
Yani kapata ajali lakini bado anamzigo wa kutosha pale kati, kweli dunia haiko fair
 
Uuuuuuwii!!! Bora tako limepona Maana Linatambulika Na TRA Kwa kuingiza Mapato Makubwa nchini
Tako lake limesaidia kwa kiasi kikubwa kuinua uchumi wa nchi na kujenga mashule,zahanati,na hata miradi mbali mbali ya kimaendeleo

[HASHTAG]#Lidumu[/HASHTAG] Tako la Masogange ..Lidumu daima.
 
hivi huyu dada siku akiamka akute hana hayo mahips si atajinyonga
 
Alipata ajali lini na alikuwa akitokea wapi? Unaweza kukuta alifumaniwa hawa mabinti wa siku hizi ni balaa tupu.
 
Back
Top Bottom