Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,782
- 59,249
Ni kweli mchumba hasomeshwi .
Pole yako Frank wazazi ndio wenye majukumu ya kumsomesha ww Frank kazi yako kubwa ilikua ni kugegeda tu!!!
100,000,000,000,like Received....yaani hakuna kosa kubwa kwenye mahusiano kama kumsomesha mpenz...we we we lazima ujute wanawake waacha kama walivyo mimi nawaheshim hapo kweny kubadili maamuz ni dk 1 atakacho fanya huto amini....FRANK wakowengi we acha tu
Pole yako Frank wazazi ndio wenye majukumu ya kumsomesha ww Frank kazi yako kubwa ilikua ni kugegeda tu!!!
pole sana frank, niliwahi kulipa ada na mimi yakanikuta zaid..afadhali wako katiwa mimba, mimi wangu aliolewa kabisaa.. Ni changamoto tu za maisha, ila @kusomesha no..
Yaani wanaume hata kama tunapenda vipi..tusomeshe ndugu zetu jamani na wake zetu, sio mademu..usisomesheeeeee...wanawake hawana shukrani..yaani ukianza kusomesha tu anakudharau..pesa zako za matumizi anapiga zege na ---- mwengine..
Salute kwa wanawake..mimi hata hela ya daftari silipi, sio kusomesha tu..nishajifunza siku nyingi!!
Pole kwa Frank,ndio changamoto hizo
Hii hapana wala sio changamoto ni makusudi!!unajengaje ndani ya mipaka ya barabara ya magufuli?