Pm za wadada ni kipimo cho utulivu wetu!

Hii ni kwasababu kila mdada anapotupia Uzi kwenye jukwaa la MMU lazima akutane meseji za mtongozo pm zaidi ya moja.
Kuna baadhi ya wanaume wapo hapa kwaajili ya kuvizia k tu.
Kwani sh ngapi kuwaeleza kama hujisikii kuwa nao kimapenzi.. Ww wajibu tu kama ambavyo unawajibu wale wanaokutongoza daily kitaa.


If you escaped from the lion's den, why go back for your hat?
 
Mkitongozwa shida msipotongozwa mnajiona mna nuksi tuwaeleweje sasa?

Sent from my HTC_M910x using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom