Elius Obadia
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 445
- 174
Mzee wetu msekwa huyu kijana ni zaidi ya dola, tena acha kusema hivyo wasije kukutukana na ww mzee wetu.Nchi kwa sasa ni matusi tu .
Cheo ni dhamana Wateule wa awamu hii ya tano ni kama wame weka pamba kwenye masikio wamesahau kwamba sisi ndiyo tume waweka hapo eti hawaogopi mkono wa sheria 'no one is above the law'amelikoroga wacha alinywe
Kumbe umetumia mungu ya herufi ndogoHuyo ni mwanampendwa,heri kuvunja bunge na kuwatoa majaji na mahakimu wote kuliko huyo kuathibiwa. "Mimi pekee ndiye ninaruhusa ya kutangaza ....." "Mimi ninaposimama basi ni mungu amesimama"
Huwezi kumfananisha konda na Mungu. Mungu siyo mnafiki kama munguKumbe umetumia mungu ya herufi ndogo
HahahaaaDaddy's little boy or daddy's favorite boy
Labda marekaniHakuna aliye juu ya sheria