PITC ONE VS PITC TWO HIV TEST RESULTS

bro kay

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
249
222
WaKuu habarini,

Kwa mwenye uelewa wa hizo HIV TEST RESULTS anisaidie, nataka kujua nini maana ya kila moja.

Karibuni
 
Sijajua mzizi wa swali lako mkuu

Nashauri mambo mengine uwe mnamaliza hospitali huko huko mkuu
 
Hizo sio test....huo ni upuuzi tu,wala hutakiwi kujua maana yake kwa kuwa ni upuuzi tu....

Kati ya mambo ya kipumbavu duniani kuwahi kutokea,Uongo kuhusu HIV/AIDS ni mojawapo.
mkuu una maanisha hakuna kitu kinaitwa HIV\AIDS ??
 
Consult your medical professional. PITC means Practitioner Induced Testing and Counseling
Hiyo 1 and 2 muulize aliyekupa majibu
 
Mdau hapo juu amenitisha kusema "...uongo kuhusu HIV/AIDS" kuna mwanamama baada ya kupata Ukimwi alianzisha harakati za kupinga kua hakuna uhusiano kati ya HIV na AIDS.

Suprisingly akapata na wafuasi wa harakati zake, lakini mwisho alifariki na kilichomuua ni complications zilizotokana na HIV/AIDS.
 
Kwahiyo unataka kusema kwamba mkuu Deception amekanyaga nyoka kwenye mkia hivyo ubishi wake ni kwa ajili ya kujifariji tu?
 
Kwahyo ww ulimsikia mwanamama sio?? Ila hutaki kuwasikia wanasayansi wenyewe!! Endelea tu na mtizamo huo
 
mkuu una maanisha hakuna kitu kinaitwa HIV\AIDS ??
Kitu kinachoitwa HIV/AIDS kipo,yaani ni sawa na wewe kuniita mimi ng'ombe hina maana kwamba mimi nina sifa za ng'ombe,la hasha.Lakini hakuna kitu/ugonjwa unaoakisi maana ya HIV/AIDS.Nenda popote duniani,huwezi kuona AIDS inayosababishwa na kibwengo kinachoitwa 'HIV'.

Unachoamini wewe kuhusu HIV/AIDS ni kiini macho tu.Fanya uchunguzi wako utajua tu.
 
Mdau hapo juu amenitisha kusema "...uongo kuhusu HIV/AIDS" kuna mwanamama baada ya kupata Ukimwi alianzisha harakati za kupinga kua hakuna uhusiano kati ya HIV na AIDS.

Suprisingly akapata na wafuasi wa harakati zake, lakini mwisho alifariki na kilichomuua ni complications zilizotokana na HIV/AIDS.
Naomba uzitaje hizo complications zote zilizomwua.Hapa ndio tutajua kama unazungumza kwa mihemko au unajua unachokisema.
 
Nina uwezo wa kufafanua hili suala vizuri tu lakini inabidi kuweka angalizo.Unaweza kujikuta unatoa majibu hapa na mtu akapata stroke kumbe maandishi hayo ameyaona kwa mtu wake wa karibu.Naungana na wale walioshauri muhusika aende vituo vya ushauri nasaha na upimaji ili akapate ufafanuzi.Mambo mengine ni for medical purpose only.Ni SIRI.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom