Hizo sio test....huo ni upuuzi tu,wala hutakiwi kujua maana yake kwa kuwa ni upuuzi tu....WaKuu habarini,
Kwa mwenye uelewa wa hizo HIV TEST RESULTS anisaidie, nataka kujua nini maana ya kila moja.
Karibuni
Wewe kama nani? Kuna watu wanajua anachokiuliza wewe be quite please!!.Sijajua mzizi wa swali lako mkuu
Nashauri mambo mengine uwe mnamaliza hospitali huko huko mkuu
Kwahiyo unataka kusema kwamba mkuu Deception amekanyaga nyoka kwenye mkia hivyo ubishi wake ni kwa ajili ya kujifariji tu?Mdau hapo juu amenitisha kusema "...uongo kuhusu HIV/AIDS" kuna mwanamama baada ya kupata Ukimwi alianzisha harakati za kupinga kua hakuna uhusiano kati ya HIV na AIDS.
Suprisingly akapata na wafuasi wa harakati zake, lakini mwisho alifariki na kilichomuua ni complications zilizotokana na HIV/AIDS.
Wewe kama nani? Kuna watu wanajua anachokiuliza wewe be quite please!!.
Ila umemaanisha nini?Hahahaha sijamaanisha hivyo...
Nimemaanisha kua, mdau hapo juu yaweza kua ameangalia hoja za ile harakati na kuziamini hivyo kunaleta kitu tunachosema tunakubaliana kutokubaliana.Ila umemaanisha nini?
Kitu kinachoitwa HIV/AIDS kipo,yaani ni sawa na wewe kuniita mimi ng'ombe hina maana kwamba mimi nina sifa za ng'ombe,la hasha.Lakini hakuna kitu/ugonjwa unaoakisi maana ya HIV/AIDS.Nenda popote duniani,huwezi kuona AIDS inayosababishwa na kibwengo kinachoitwa 'HIV'.mkuu una maanisha hakuna kitu kinaitwa HIV\AIDS ??
Naomba uzitaje hizo complications zote zilizomwua.Hapa ndio tutajua kama unazungumza kwa mihemko au unajua unachokisema.Mdau hapo juu amenitisha kusema "...uongo kuhusu HIV/AIDS" kuna mwanamama baada ya kupata Ukimwi alianzisha harakati za kupinga kua hakuna uhusiano kati ya HIV na AIDS.
Suprisingly akapata na wafuasi wa harakati zake, lakini mwisho alifariki na kilichomuua ni complications zilizotokana na HIV/AIDS.