Pigo Kubwa kwa CHADEMA: Babu Duni Ameipiga Chini CHADEMA!

Mtoa uzi kumbe hujui mipango ya kisiasa,mbinu hizi zilitumika tangu enz za TANU,wanachama wa TANU waliungana dk.za mwisho ili kudhoofisha utawala uliokuwepo.Soma alama za kisiasa.
 
Mi naona angevuta muda kidogo. kawahi mno kuondoka.Lakini akae kufanya nini, na Lowasa keshaikosa ikulu.
 
WanaJF,

Katika hali ambayo imeshtua uongozi wa CHADEMA taifa ni baada ya aliyekuwa mgombea wa makamu wa urais CHADEMA, Babu Duni kuikacha CHADEMA na kutimkia CUF!

Uongozi wa kitaifa wa CHADEMA umekuwa ukifanya vikao vya dharura kumsihi babu Duni abakie CHADEMA ingawa juhudi zao hizo hazikuweza kuzaa matunda na hivyo kufanya babu Duni aitupilie mbali kadi ya CHADEMA.

Pole Mbowe na fisadi Lowassa.

Poor thread !! Juma Duni alijiunga chadema kutimiza wajibu wa kisheria ili agombanie ile nafasi kutoka upande wa pili wa Ukawa Zanzibar, ata ivyo Duni alikuwa hataki lakin maalim seif alimuomba sana ili kutimiza malengo ya Ukawa akakubali sasa uchaguzi umekwisha kuna haja gani tena kubaki CHADEMA ilhali ulimwengu unaelewa Juma Duni ni CUF na CUF ni Duni?

Labda utuambie Tanganyika munataka kurudia uchaguzi, kama mtarudia uchaguzi Duni atarudi pale pale tu kutimiza malengo ya Ukawa. hii haina shida ni akili ndogo sana,
 
Ana akili sana huyo dingi. ameona chadema ni chama cha ukabila na ukanda, na udini pia
 
WanaJF,

Katika hali ambayo imeshtua uongozi wa CHADEMA taifa ni baada ya aliyekuwa mgombea wa makamu wa urais CHADEMA, Babu Duni kuikacha CHADEMA na kutimkia CUF!

Uongozi wa kitaifa wa CHADEMA umekuwa ukifanya vikao vya dharura kumsihi babu Duni abakie CHADEMA ingawa juhudi zao hizo hazikuweza kuzaa matunda na hivyo kufanya babu Duni aitupilie mbali kadi ya CHADEMA.

Pole Mbowe na fisadi Lowassa.

sasa ni wakati wa Babu kwenda kuchukua nafasi ya Makamo wa Pili wa Zanzibar. Anahitajiwa kujenga znz mpya
 
Hakuna jipya kuhusu suala la Duni kurudi CUF. Hilo walilitegemea maana walichofanya ilikiwa ni sanaa tuu. Mtu yoyote alilitegemea hilo.

Kweli kabisa.
Katika uchaguzi huu Chadema walifanya sanaa nyingi tena za wazi katika uteuzi wa wagombea.
Cha ajabu ni kuwa ilitegemewa wapiga kura wazifumbie macho sanaa hizi.
 
Hakuna jipya kuhusu suala la Duni kurudi CUF. Hilo walilitegemea maana walichofanya ilikiwa ni sanaa tuu. Mtu yoyote alilitegemea hilo.
Nadhani cdm ina kete moja nayo ni kuishawishi cuf ikubali kuunganisha vyama ili wawe na chama kimoja, ktk hili cdm haihitaji sana nccr mageuzi kwani wenyewe washajichokea. Kwa kufanya hivyo upinzani utakuwa ni cdm amacho kitakuwa kimejivika jina jengine ila kutokana na kasumba ya cdm, natabiri mwenyekiti wa hicho chama atakuwa mbowe. Ila jambo zuri ni kuwa chama kikuu hicho cha upinzani kitakuwa na nguvu bara na visiwani, ila kwa hali ya sasa bila kuunganisha nguvu chadema inaweza kusubiri miaka 50 bila kupata mbunge enfapo cuf itasimama ktk majimbo yoye. Na sintofahamu hii ya Duni pia haitakuwepo
 
Wewe muanzisha thread hilo la Duni sisi wa chadema tunaelewa kwamba huyu tunampa uanachama ila hayupo kwenye chama sasa angefanya hivyo lowassa ingekuwa sawa na tungeumiaa

mbona unampamba sana huyo babu...kafanya nini cha maana?? hapo tayari umeshaingiza ukabila...
 
WanaJF,

Katika hali ambayo imeshtua uongozi wa CHADEMA taifa ni baada ya aliyekuwa mgombea wa makamu wa urais CHADEMA, Babu Duni kuikacha CHADEMA na kutimkia CUF!

Uongozi wa kitaifa wa CHADEMA umekuwa ukifanya vikao vya dharura kumsihi babu Duni abakie CHADEMA ingawa juhudi zao hizo hazikuweza kuzaa matunda na hivyo kufanya babu Duni aitupilie mbali kadi ya CHADEMA.

Pole Mbowe na fisadi Lowassa.
Duni yupo sahihi kuondoka..chama kina wenyewe hicho, kama sio chagaz unawekwa pending huna thamani! ukabila, udini.. hivi viwili havitakiwi kuwepo
 
Back
Top Bottom