Kuna wengine tulisema yule alikuwa straika mzuri kwa sababu alifunga sana magoli ya penalt.
Pia straika huyu huwa ana hasira hata kipindi kike yuko mchangani mara nyingi marefarii walimpa kadi za njano au kukataa magoli yake ya kuotea.
Pia watu wanao mfaham walisema straika huwa ana roho mbaya kwao hata wanawe tu wana muogopa hali hii huathiri hata uchezaji wake kuwa ni wa rafu sana.
Sasa tume mpa nafasi acheze na kumpa ukapteni, sijui timu yetu itashindaje !!!
Usajili ujao tusikosee jamani
marefa wa kisasa haostriker vurugu tu uwanjani anaacha kucheza namba yake yeye kila namba anacheza mara yuko nyuma hatulii uwanjani hayo magoli atafungaje. benchi la ufundi inabidi limwambie atulie kwenye namba yake vinginevyo dk 90 zitaisha hatujapata chochote. Halafu naona kama marefa wanamwogopa anacheza rafu hawampi onyo
.....Sijawahi kuona usajili mbovu kama huu,benchi la ufundi libebe lawama hizi