PICHA: Zitto Kabwe afunika Mkutano wa Hadhara huko Kigoma Mjini

Status
Not open for further replies.
Embu nione utabiri wako kama uko sawa, Kuwa Zitto Z. Kabwe atakufa kifo cha Kisiasa kama kile kilichomkuta Augustine Lyatonga Mrema wa NCCR-Mageuzi.
  1. 1. Mrema alilelewa na Chama cha Mapinduzi CCM, aliiga style ya CCM na hata mikakati yake ilikuwa ya CCM ilikuwa rahisi kwa CCM kummaliza Zitto hatokei CCM hana background zozote za CCM
  2. 2. Mrema alifanya kazi Serikalini akiwa kama Usalama wa Taifa, Zitto hajawahi fanya kazi za serikali
  3. 3. Augustine Mrema hakuwahi kuwa na ajenda kwa ajili ya kuisikuma nchi alikuwa nasera za kushindia uchaguzi tu Zitto anabeba ajenda za Nchi (sera Ya madini na sheria zake, Sera ya Gas na Energy, Sheria ya uhamishaji pesa, Posho za vikao, siasa ya mabadiriko na kuaminiana n.k) ajenda za kizazi Kipya.
  4. 4. Augustine Mrema alikuwa na malengo ya muda mfupi Zitto ana Malengo ya muda mrefu,
  5. 5. Augutine Mrema umri haukuwa upande wake Umri sio tatizo kwa Zitto, He can wait as much as possible hata mwaka 2025 Zitto atakuwa yuko kwenye umri wa kazi,
  6. 6. Augustine hakuwa na Shule, Zitto Kabwe kagonga shule masters zake mbili ya sheria na Economics zinamfanya ajue nini kinatakiwa wapi na lini na kwa mtindo gani.
  7. 7. Augustine hakuwa na Itikadi Zitto ana Itikadi.
  8. 8. Mrema aliishi kwa Matukio alitumia public sympathy kusukuma ajenda zake kama mikutanoya hadhara nk, Zitto anatumia vyombo vilivyopo kisheria kama Bunge kuseukuma ajenda zake (km ajenda ya Posho, Ukaguzi wa mahesabu ya vyama vya siasa na CAG)
Mwisho Sheikh Yahaya alifariki bila kututajia mrithi wa kazi yake ya Utabiri, ni nani amekupa jukumu hili la kuwa mtabiri Kiongozi wangu???

...

images
 
Yeah this one right here goes out to all the baby's mamas, mamas...
Mamas, mamas, baby mamas, mamas
Yeah, go like this
I'm sorry Ms. Jackson (oh)
I am for real
Never meant to make your daughter cry
I apologize a trillion times
I'm sorry Ms. Jackson (oh)
I am for real
Never meant to make your daughter cry
I apologize a trillion times

A baby drama mama, don't like me
She doing things like having her boys come from her neighborhood
To the studio trying to fight me.................
hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Zitto taratibu atamuua dr kwa presha.

Chadema chumbani na sebureni hoi.
 
Mnaona Zito wa maana sana kwenye nchi hii eeh, mchukueni muona atakachowafanay nyie. Ningeowaona wa maana kama mneeukuwa mnapiga kelele juu ya Gesi ma migodi inayofungwa kuliko huu usaliti wa waziwazi na mapinduzi kama anayotaka fanya Zito ili muendelee kupia KIck bak kwenye deal zetu za kutuua..
 
Mwisho Sheikh Yahaya alifariki bila kututajia mrithi wa kazi yake ya Utabiri, ni nani amekupa jukumu hili la kuwa mtabiri Kiongozi wangu???

Umesahau namba 9.

9. Mrema hakuwahi kwenda kutibiwa india akiwa na umri kama wa zzk. Zzk keshaenda kutibiwa india.
 
Namuonea huruma Zito Kabwe kwani hajitambui. Mbaya zaidi CCM wanazidi kumuharibia lakini yeye hajitambui. Ni bora kuwa maskini wa mali kuliko kuwa maskini wa maarifa kama Zito Kabwe.

Tatizo lako wewe na wana CHADEMA wengine mna akili za kiutumwa, zile akili za kuamrishwa na kutii hata kama jambo ni la kipuuzi. Kwa Zitto hiyo ipo tofauti sana, kijana anajua ku-argue bwana.
 
Hivi Zitto anapambana na nini haswa? Mbona huyu mtu ni kama anachanganyikiwa? Hata kina Kitila wanashindwa kumshauri?
 
Hawa wanao kuja kumsikiliza Zitto wanahamasishwa na CCM. Wanawahamasisha walio wanaccm na wasio. Ila wote wakifika hapo kwa ZITTO yeye anawapiga neno la ' CDM ni bora kuliko CCM'. Hongera CCM kwa kuipaisha CDM.
 
mwanasheria mkuu wa serikali anasema zitto ameapa hana majina ya watu anawasema wana pesa uswis
 
ZZK ni mali ya CCM; wana kila sababu ya kuitetea usiku na mchana
 
Huyu kijana ni mpango wa mungu, na azidi kubarikwa

Masikini Zitto enzi zile alipokuwa Zitto kwelikweli magamba walikuwa wanamuogopa kama ukoma.Wakiwa bafuni magamba wakimsikia Zitto walikuwa wanakimbia mpaka wanapoteana wanasahau hata kuvaa nguo ili Zitto asije akawafuma.Wakiwa msalani wakimsikia Zitto walikuwa wanakurupuka kama mtu aliye fumaniwa hata kabla ya kumaliza shughuri ya msalani.Jamani magamba wana dhambi wamefanikiwa kumkamata Zitto wa watu wanafanya kazi ya kumlambalamba kama vile chatu anavyo mkamata mbwa na kumlambalamba ili amumeze.Masikini Zitto ndiyo hivyo tena magamba wameshakupata huna madhara tena kwao wanakulambalamba ili wakumeze kiulaini kwa heri Zitto CHADEMA walikupenda lakini magamba wamekupenda zaidi.Ulale mahali walipo kuandalia magamba.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom