Picha za wanasiasa wetu wa kipindi hicho

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,671
55,579

Mama Maria Nyerere (Maria Waningu Gabriel Magige), early 1950s. Amezaliwa 1930, Kiabaibi, Rorya.

1965 Eduardo Mondlane na Ernesto "Che" Guevara katika ofisi za Chama cha FRELIMO, Dar Es Salaam.

Prof Mark James Mwandosya na mkewe, Mama Lucy Akiiki, 1970s. Picha kwa hisani ya: Max Mwandosya

Queen Elizabeth II na Mwalimu Nyerere in BBC filming of The Royal Family 1968-9. ©Royal Collection

Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania, Edward Lowassa na mkewe, Mama Regina Lowassa.

Rais Pombe Magufuli wa kwanza kulia Pamoja na wanafunzi wenzie, MSc Chemistry UDSM, Miaka ya 1990.

Januari 23, 1964; Mwalimu Nyerere katika mkutano na waandishi wa habari baada ya Maasi ya Jeshi waliotaka kumpindua.

Chanzo: Mitandaoni
 
Kitwaga kumbe kaamza kuzitwanga ze laga longi... Swafiii kamanda pamoja sana
 
Duuh Lissu mshamba tokea enzi hizo,. Amshukuru Mwalimu kwa elimu ya bure maana huyu angeozea huko bush ikungi au Nkonkilangi.. Rip baba wa taifa.
 
Wekeni ile ya JK na Lowasa.
Inayonifurahisha ile ya Dr. Salim na Nyerere ya ya 1950s
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…