Picha za jeneza za Ivan ila.....

Kwa utajiri wa Ivan dollar mill 150 alikuwa na uwezo wa kuzilipa hata kwa mchango wa rafiki zake..ana mali nyingi sana ambazo alikuwa na uwezo wa kuziuza na akalipa hilo deni hata kwa msaada wa Mikopo bank na mchango wa richgang wenzie

Halafu Ivan alikuwa mwaminifu sana kuhusu kutapeli na ndio maana hata serikali ya South na Uganda zilimwamini na kumpa Tender na kuingia nae ubiya kwenye biashara kadhaa!!
Gharama za kufake death halafu watoto wake wamsahau baba ni kubwa mno,aliwapenda watoto wake sana tu!
Alikuwa na mapungufu mengine tu ila sio utapeli...Kufa amekufa,hilo swala la kutoonyeshwa sura ni makubaliano ya familia na ndugu tu...na kwa jinsi alivyokuwa amebabuka mdomo na pua haikuwa njema kuonyeshwa hadharani!!halafu airport (hasa nchi zilizoendelea)ukisafirisha maiti kwenye ndege ni lazima waifungue kwanza kuikagua kama kweli ni maiti na kama haijawekwa vitu vingine vya haramu!baada ya hapo wanaifunga vizuri na manailoni yao!!kwa hiyo huenda wakati anafunuliwa airport ndipo watu wakaweza kumpiga hizo picha!(nadhani tu sina uhakika)
Watoto walikuwa wanatunzwa na daimondi.
Ila aivani amemfunika sana daimondi hasa kwenye mazishi.
 
nimeona iyo wakati maiti inatua uganda ilikua na nylon
 
Mange anawachanganya sana na yule zari alienda kumsalimia kule hospitali alikuwa fake au ivan amekufa mbona watanzania mnavipaji sana vya kutunga mambo huki muangalia ivan akiwa hospitali kama walimpasua kichwa itakuwa aliaribika kweli
Mamge nasgindwa kuelewa chuki yake kwa zari ni kisa tu Zari anatoka na Mondi au kuna la ziada. Coz naona mamge kinamuuma kuliko hata wema. Mange anatamaninkwa moyo wake woote baya lolote limpate Zari. Sijui vipi yule bi mdashi
 
Ukiwa kwenye kile chama ndio mambo yao ya kufake kifo cha mtu wao hasa wakikuona kama unakwenda kinyume chao.

Kuna move moja samweli Jackson ameact mule ndani wame disclose mambo yao kidogo hao ya kufake vifo.
Chama gani mkuu?
 
lolote linawezekana chini ya hii dunia, so haishindikan kuwa ame fake kweli
 
Kwa utajiri wa Ivan dollar mill 150 alikuwa na uwezo wa kuzilipa hata kwa mchango wa rafiki zake..ana mali nyingi sana ambazo alikuwa na uwezo wa kuziuza na akalipa hilo deni hata kwa msaada wa Mikopo bank na mchango wa richgang wenzie

Halafu Ivan alikuwa mwaminifu sana kuhusu kutapeli na ndio maana hata serikali ya South na Uganda zilimwamini na kumpa Tender na kuingia nae ubiya kwenye biashara kadhaa!!
Gharama za kufake death halafu watoto wake wamsahau baba ni kubwa mno,aliwapenda watoto wake sana tu!
Alikuwa na mapungufu mengine tu ila sio utapeli...Kufa amekufa,hilo swala la kutoonyeshwa sura ni makubaliano ya familia na ndugu tu...na kwa jinsi alivyokuwa amebabuka mdomo na pua haikuwa njema kuonyeshwa hadharani!!halafu airport (hasa nchi zilizoendelea)ukisafirisha maiti kwenye ndege ni lazima waifungue kwanza kuikagua kama kweli ni maiti na kama haijawekwa vitu vingine vya haramu!baada ya hapo wanaifunga vizuri na manailoni yao!!kwa hiyo huenda wakati anafunuliwa airport ndipo watu wakaweza kumpiga hizo picha!(nadhani tu sina uhakika)
Samahani mkuu USD $150 ni sawa na tsh ngapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom