MAPARA ZNZ
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 272
- 79
Hapa ndio unapoonekana umuhimu wa kuwa na shirikisho badala ya hichi kiini macho kinachoitwa muungano tusingejadili vijimambo km hivi hapa
Wazanzibari wakikusikiwa watakuambia ni baba yenu peke yenu huko tanganyika.Karume ni kwa ajili ya Zanzibar tu...!! Ila Nyerere ni BABA WA TAIFA... la Tanzania..na ni Rais wa kwanza wa Tanzania.. sio KARUME..!! umeelewa..?
Tanzania = Tanganyika + Zanzibar...!!
Karume alikuwa Rais wa kwanza wa Zanzibar.. sio Tanzania..!!
Kama bado hujaelewa wa UDOM wee..!!