Mkia anao.....!???
Sasa wanamsifia nini, wakati hana sifa zitakuwa zao....!Mkia autoe wapi, fujo za facebook Tu lakini vyombo hamna
WENGINE WANGEKULA KWA CHUMVI! WANASEMA BINTI NI KAMA EMBE WAKATI WEWE UNASUBIRI LIIVE WENZAKO WANAKULA KWA CHUMVIwangekaacha kakue
kweli binamuBinamu asante kwa ubuyu ndugu yangu
Kwa maoni yangu tu ni kwamba, kwanza huyu binti hata awe mzuri vipi chance na Diamond hana. Namaanisha chance yoyote ya relationship. Yaan hiyo aendelee kuota tu kichwani mwake na usingizin. Yeye na Zari ni kama kifo na usingizi very two different things in two different worlds. Zari is a WOMAN and fully established in everything on the other hand she is just a girl that doesn even know yet what she wants in life i doubt if she even goes to collage. Ni kama kumfananisha Amber Rose na Michelle Obama..yaan haileti maana
Chibu anaweza akapiga kishkaji au daily tu kwani nn..ila kuhamisha majeshi hiyo wahindi wenyewe wanasema NEHI BOLO