mpingo
Member
- Feb 26, 2007
- 65
- 12
Nitakuwa wa kwanza kuunga mkono kwa hali na mali movement yoyote isiyo ya kisiasa(labda iongozwe na taasisi ya kiraia) itakayojinasibu kudai katiba mpya!!CCM kuinunua hoja ni vigumu sana kwanza demokrasia haimo katika DNA ya wanasiasa wetu wawe upinzani ama serikalini