Picha: Mwamunyange akiteta na Rais Magufuli

Ila naona angepewa gwanda lenye nyota maana hapo makamanda wanaweza mwita we private okota ming'ao hiii..
Wakija kuangalia usoni Ni raisi wao
 
Kuna watu humu ndani wanadhani amiri jeshi mkuu ni cheo cha kijeshi.. (hapa bado najua hawataelewa (
 
Kwa sisi wanajeshi wa zamani ili wala siyo tatizo jinsi walivyosimama tu boss anajulikani anasimama sehemu gani.
Pamoja na kwamba huwa nakupinga kwa hili upo right. Huyo kibo ana lake jambo si bure
 
Nadhani kuna makosa yamefanyika.
Ilipaswa kuweka kitu mabegani na pia ktk colar ili kuwepo heshima na kumtofautisha na Private soldier.
Km walivyofanya kwa Uhuru Kenyatta
 
Kwanin sister umeuliza hivo??? Mi nadhani sio fresh kwa kiongoz mkuu wa nchi kumhusisha na tendo la jinai.
 
Wr9CpI
Huyu ni 5star General wa kuchovya,kama wale madokta wetu wale wa china
 
Wewe unayejua ebu nipe siku ambayo Obama au Waziri Mkuu wa uingereza ulimwona amevaa kombati. diyo Hivyo tu huko nyuma Nyerere, Mkapa, Mwinyi na hata Kikwete sikuwaona wameyavaa makombati wakati wa uongozi wao!
Obama alivaa jacket ya Air force huko Afghanistan baada ya kupewa kwa heshima, kwa hiyo huenda na president wetu alivaa kuwapa morale wanajeshi wetu
1453534091821.jpg
 
Back
Top Bottom