Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,720
- 215,794
Portugal, Fatima ni mji uliopo kaskazini mwa Lisbon.Hao watoto wa Fatima walikuwa wanatokea taifa gani?
Portugal, Fatima ni mji uliopo kaskazini mwa Lisbon.Hao watoto wa Fatima walikuwa wanatokea taifa gani?
View attachment 451289 View attachment 451290 View attachment 451291 View attachment 451295 View attachment 451292 Hali ilivyokuwa katika viwanja vya Seminari ndogo ya Usariver Jimbo Kuu Katoliki la Arusha, palipofanyika Ibada ya Misa Takatifu ya Kumsindikiza Fr JOSEPH BABU maarufu kama Fr Babu, katika Safari yake ya Mwisho hapa duniani.
Misa hiyo inaongozwa na Askofu Isaac Amani wa Jimbo la Moshi akiwa pamoja na Askofu Mkuu Josephat Louise Lebulu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha na Askofu Roghat Kimario wa Jimbo la Same pamoja na Mkuu wa Shirika la Roho Mtakatifu Padri Amandus Kapele.
Wengine wanaishiriki Ibada hiyo ni Mapadri wa shirika hilo na Mapadri wa Jimbo la Arusha,Moshi, Same na Mbulu;wakiwa pamoja na Watawa wakike na wakiume na Walei mbalimbali.
Kwa heri Padre Babu...Ulikuwa na
Nakumbuka evening talk zake alikua anasisitiza watu wasiwe wanafikiView attachment 451289 View attachment 451290 View attachment 451291 View attachment 451295 View attachment 451292 Hali ilivyokuwa katika viwanja vya Seminari ndogo ya Usariver Jimbo Kuu Katoliki la Arusha, palipofanyika Ibada ya Misa Takatifu ya Kumsindikiza Fr JOSEPH BABU maarufu kama Fr Babu, katika Safari yake ya Mwisho hapa duniani.
Misa hiyo inaongozwa na Askofu Isaac Amani wa Jimbo la Moshi akiwa pamoja na Askofu Mkuu Josephat Louise Lebulu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha na Askofu Roghat Kimario wa Jimbo la Same pamoja na Mkuu wa Shirika la Roho Mtakatifu Padri Amandus Kapele.
Wengine wanaishiriki Ibada hiyo ni Mapadri wa shirika hilo na Mapadri wa Jimbo la Arusha,Moshi, Same na Mbulu;wakiwa pamoja na Watawa wakike na wakiume na Walei mbalimbali.
Kwa heri Padre Babu...Ulikuwa na msemo wako maarufu sana,kila mtu alipokuwa anakuuliza,haya yote unajenga na kuyasimamia nani atayafaidi siku ukifa?Ulijibu " Life is more than just being alive",Kwako kufa sio mwisho wa maisha...Hakika leo umezikwa,lakini utaendelea kuishi.Miaka 99 sio mchezo.Sisi wanafunzi wako tutakukumbuka daima.
Padri Babu;Pumzika kwa Amani Mpendwa wetu.Ulivipiga vita vilivyo vigumu,na mwendo umeumaliza...Ulale Pema Peponi!!
Ni kweli. Namkumbuka miaka ya 1978 alitufunza mengi sana kuhusu Ukatoliki hapo Ngarenaro na alijenga dispensary na shule. Kanisa lake lilikuwa kubwa sana na źuriFr.BABU amefanya mengi ya maana kwa jamii, kuliko hata PENGO.
Mungu amlaze mahala pema peponi.
BABU alikuwa ni zaidi ya Padri.
Ureno
Naomba nikijibu kwa elimu yangu ndogo na imani yangu.Mkuu ninaelewa hili lakini wale watoto watatu wa Fatima wote wamezikwa ndani ya kanisa.
Asante mkuu lakini huwa ninakwenda Fatima mwenyewe na makaburi ya watoto nimeyaona pia mahali mama alipokuwa anatokea limejengwa kanisa linaitwa apparition church, kanisa walilozikwa watoto ni Basilica na mama aliagiza lijengwe kanisa la Utatu Mtakatifu ni kubwa sana, linachukua watu 10,000.Naomba nikijibu kwa elimu yangu ndogo na imani yangu.
Wale walibarikiwa kuwasiliana na Bikira Mariam moja kwa moja kwenye utoto wao.
Video ya Fatima inaeleza vizuri mimi niliinunua TEC Dar lakini wauzaji walikuwa wa ile bookshop ya St Joseph Dar.
Ni nzuri huwezi kosa kujifunza kitu.
urenoHao watoto wa Fatima walikuwa wanatokea taifa gani?
shirikaR.I.P fr...hv alikuwa padre wa jimbo au wa shirika la Roho Mtakatifu? Mwenye uhakika basi anisaidie
kuna googleNaomba mnijuze wakuu historia ya hawa watoto watatu Lucia, Francis na Yasinta.