PICHA: Mafuriko Maeneo mbalimbali jijjini Dar

ImageUploadedByJamiiForums1461837699.935606.jpg
Mwembe mdogo Kigamboni
 
Ndio tatizo la kujenga mabondeni...sijui watu wanapapendea nini? ...nina bro angu kila masika yeye kwake mafuriko...lakini utamsikia nakaa mbezi beach
Haahaaa! !!!!!! Eti nakaa mbezi beach.
Umenikumbusha nikiwa mkoania enzi hizo jamaa wanatutambia kuwa wapo mwananyamala. Sasa nilipotia timu mjini nikaona hayo makazi . jamani, jamani, jamani! !!!! . Kama ujanja nikuishi dar tu basi bwana
 
Dar kuna maeneo hata mvua inyeshe mwezi maji hayatuami...ila tatizo ni kasumba za nakaa mbezi beach...kwi kwi kwi...tena wale waliokuja mjini ukubwani wanapapenda mbezi beach balaa...

Kama una pesa yako kwa nini usitafute eneo lisilo na majanga...
Hata tajiri yetu nae anakaa kwenye mafuriko wakati angeweza nunua farm maeneo mengine nje ya mji akatulia...
 
Ni nani huyo tajiri yenu??
 
Mbezi beach -tangi bovu huko ndiko wanakojisifia wanakaa wenye nazo,maji kibao,ssa mbagala kukoje?
 
Wanaume Wa mkoa sijui mkojeeee....kazi umbea. Sasa hili swala linahusiana VP na uanaume???
We unadhan kila mvua inahitaj jembe????
Dar utalima lami??
Mkuu, mwache aje Dar na hela zake za mawazo akiuza mahindi yake. Mjini atauziwa gari bovu kama kawaida yao. Halifiki hata Chalinze.
 
Back
Top Bottom