Picha: Lema amsindikiza Wema mahakamani leo

WEMA CHADEMA SASA ATAKUWA AMEKUJA NA WATU KIBAO!, UCHAGUZI UJAO TEAM WEMA WOTE UKAWA!
 
Wapinzani wanahangaika na watu wengine kabisa badala ya kuhangaika na wananchi Wao Walio wapigia kura ndo maana magufuli hawapendi Kwa sababu anajua Hawa wanasiasa tabia zao kutafuta Sifa
Huijui siasa, siyo kosa lako...siasa ni sayansi iliyotukuka kabisa.Hivi unafikiri Wema Sepetu ni mtu wa mchezo mchezo when it comes to popularity. Eti ndo maana Rais anawachukia wapinzani...pathetic!, unafurahia chuki kisa kutofautiana kimtazamo?.
 
Siasa bila kuwatumia wasanii naona haziendi.
Viongozi wetu wamebaki kuwagombea wasanii na kutuacha wananchi.
Hawa wanahangaika na Wema, mzee mkubwa nae anahangaika kumpigia simu Diamond kumuuliza yuko chama gani!

Tuna miaka 159 kuifikia Tanzania ya Asali na Maziwa.
 
Back
Top Bottom