Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,780
- 8,358
Ni Kikosi Bora kabisa Afrika Mashariki na hiyo ilikuwa 1984
Nadhan NI 1994 siyo 1984Ni Kikosi Bora kabisa Afrika Mashariki na hiyo ilikuwa 1984View attachment 1768575
Kimanda mkuu hakuwa mzawa....Umenikumbusha mbali sana miaka hiyo na kizuri hawa wote ni wazawa.
Ukiona watoto wanaanza kutoa machozi mbele ya kaburi la baba yao ujue mambo yamewafika shingoni..Ni Kikosi Bora kabisa Afrika Mashariki na hiyo ilikuwa 1984View attachment 1768575
1994.Ni Kikosi Bora kabisa Afrika Mashariki na hiyo ilikuwa 1984View attachment 1768575
Labda huyo tu.Kimanda mkuu hakuwa mzawa....