Picha kibao mitandaoni nini maana yake?

Nilijitoa facebook siku nilipoona frnd request kutoka kwa wife...Na katika kipindi chote hicho nilikuwa na picha zinazonadi shughuli zangu tu...
Aiseeee....sasa wife akiona picha zako fb kesi inatoka wap
 
Mkuu umeelezea vzr sana tatizo halipo ila km ujuavyo hata kabla ya ujuio wa hii mitandao watu walikuwa wanapiga picha kukumbukia tukio flani lakini sasahivi mtu anajipigia mipicha tu hovyo hovyo mbaya zaidi unakuta amejibinuabinua hasa kwa hawa dada zetu, picha zingine hazina maadili hata kidogo wapunguze bwana mimi zinanikera sn
hapo kwenye ukiukwaji wa maadili hata mimi nachukia na sipendezwi na hali hiyo, ila kinyume na hapo mbona nginja tu!
 
Ukiona mtu ana Acc FB na ni active mda
wote kama hatupii Pc au mada yoyote na kujibu coment za watu,,,,,,,, huyo ni mzee wa kuwa INBOX watu!! sasa sijui nani ana nafuu!!!!!!!
 
Huwenda ni kweli sina uhakika nayo sana
 
Ukiona mtu ana Acc FB na ni active mda
wote kama hatupii Pc au mada yoyote na kujibu coment za watu,,,,,,,, huyo ni mzee wa kuwa INBOX watu!! sasa sijui nani ana nafuu!!!!!!!
Fb sio sehem ya kupost picha au kutoa mada au kuinbox tuu kuna wengine wanasoma habar only. Ndio maana hata mark mmliki wa fb huwa hapost mipicha kila siku.
 
Back
Top Bottom