Picha: Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Shari Hamad na Ujenzi wa chama Kisiwa cha Tumbatu

WinVista

Senior Member
Nov 11, 2014
134
87
Akiwa katika ziara maalum ya ujenzi wa chama kufungua matawi mapya Katibu Mkuu wa CUF maalim Seif Shariff Hamad na umati mkubwa uliomiminika katika kisiwa hicho cha Tumbatu jana tarehe 1/4/2017,

Ni dhahiri sasa CUF haizuiliki tena katika visiwa vya Zanzibar, itakumbukwa kabla kisiwa hichi maalim hakuwa na ushawishi wowote ilikuwa ni kijani kitupu.

Ikumbukwe kwamba ziara hii ni ya siku 12 mfululizo kwa Katibu Mkuu huyu kutembelea visiwa vya Zanzibar na kuendelea kukisuka upya chama.



akiwa kwenye mtumbwi kuelekea kisiwa cha Tumbatu


Wanakijiji wa kisiwa cha Tumbatu Unguja wakimsubiri kiongozi wao rais wao mpendwa bandarini




 
Aisee kumbe kweli Zanzibar no nchi tofauti kabisa na nilivyokiwa naijua Zanzibar kwa maeneo ya mjini!...Yani kwa uvaaji huo, name muonekano was kusanyiko hilo ni tofauti kabisa na kule bara! Yani hadi macho wanatekenya kuona kitu kipya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…