Picha kali ya wiki hii hapa, Maandamano ya CHADEMA Kahama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
126,493
241,223
Hii hapa ni Picha kali ya wiki hii iliyochukuliwa kwenye Maandamano ya CHADEMA huko Kahama .

Screenshot_2024-04-24-15-04-07-1.png

Wengi wanadhani Polisi wanakuja kwenye Maandamano haya kwa sababu ya Kikokotoo, lakini mimi napinga, na naamini Polisi wanakuwa kwenye Maandamano haya ili kutimiza majukumu yao ya Ulinzi na Usalama.
 
Kwani polisi wana shida gani mkiandamana bila kufanya fujo? Jaribuni kuanzisha vurugu mkione kilichomtoa kanga manyoya. Kipigo cha mbwa koko kitawahusu.
 
Soon tutasikia huyo kamishna wa jeshi hilo amehamishiwa lindi, mtwara, tandahimba au rufiji...😂
 
Waliokuwa wanatoa kauli za "hapatakalika" ni akina nani? Au umesahau?!
Walipozitoa ikawaje?? Kauli Ndio vurugu? Nataka unipe mfano wa vurugu ambazo zimesababishwa na maandano ya CHADEMA.

Kama kauli ni vurugu, vipi kauli za "kipumbavu" za Viongozi wa CCM kila siku dhidi ya CHADEMA??
 
Le
Hii hapa ni Picha kali ya wiki hii iliyochukuliwa kwenye Maandamano ya CHADEMA huko Kahama .

Wengi wanadhani Polisi wanakuja kwenye Maandamano haya kwa sababu ya Kikokotoo, lakini mimi napinga, na naamini Polisi wanakuwa kwenye Maandamano haya ili kutimiza majukumu yao ya Ulinzi na Usalama.
Leo hutuletei habari za Makonda?
 
Walipozitoa ikawaje?? Kauli Ndio vurugu? Nataka unipe mfano wa vurugu ambazo zimesababishwa na maandano ya CHADEMA.

Kama kauli ni vurugu, vipi kauli za "kipumbavu" za Viongozi wa CCM kila siku dhidi ya CHADEMA??
Ulitaka mtoe kauli za kutishia amani na usalama halafu polisi wawachekee siyo?
Kipigo cha mbwa koko kingewahusu.
 
Back
Top Bottom