PICHA: Kafulila awaondoa hofu Marekani kuwekeza Tanzania kwani tayari nchi ni mwanachama wa kudumu Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa kibiashara

Kafulila nafasi inayomfaa kwa Sasa ni uwaziri aende akagombee huko kwao maporini
Kumbe Jaji Werema ( former AG) Alikuwa hakukosea pale bungeni kwa jina alilokuwa amempa huyu dogo. Ni kanafiki, ila kawaida watu wa Mwmbao ule wa Ziwa huwa ni wanafiki sana . Usije kuwaamini wanachosema leo siyo kile wanachosema au kaumini kesho. Kama alivyo Kiongozi mmojawapo wa Chama kile cha pili kule ZNZ.
 
Kama sikosei hii ishu aliwahi izungumza Rostam Azizi kwamba Tanzania hatuwezi kupata wawekezaji wakubwa kwa kuwa hatupo kwenye mahakama za kimataifa za kibiashara. Kesi zinaamriwa Kisutu ambapo Jaji anaweza kupigiwa simu na mwanasiasa kubatilisha hukumu.

Ngoja niitafute ile video niiweke humu.
Nzuri sana hii kwa uhai wa Taifa
 
Back
Top Bottom