PICHA: Jionee hali ya barabara za Ifakara kipindi hiki cha mvua ni shida, wabunge chukueni hatua!

Ifakara a.k.a Ifoza inaumiza sana ndugu zangu,

Wa kikwawila, kapolo,kibaoni, maendeleo, kwa shungu, mnarani, kwa namanji, makwemla, jongo, viwanja 60, lipangalala, kwa mkuya, mtaa wa wapogoro, lumemo, mbasa, katindiuka,mlabani, kiungani,madukani,
Woote ndugu zangu wanalia sababu ya barabara
Ule mto lumemo ulikua ukifurika tu mafuriko ya mto yanavamia mji hasa maeneo ya sokoni pale.
 
Umaskin ni kitu kibaya sana. Halaf ikukute wewe ni maskin halaf IQ yako inamushkel yani unakua helpless na hopeless. Kulikuwa na haja gan ya dart mibas iendayo kas daraja la kigambon sasa hiv et liflyover tazara halaf nasikia kuna lidaraja lengine litajengwa kuunganisha coco beach na salender halaf libomba la ges. SO SAAAAAADDD!

Ngoja nifunge macho kesho saa 10 alfajir nawahi kubeba boksi.

GOD HELP US
Umeongea baba,huko nilisoma huko.Wakati wa kwenda shule kipindi kama hiki lazima ulie.Kiangazi nayo...Wacha ijengwe dar inatosha wote tutaenda kukaa Dar tucheze tu Pool table.Ukisikia Mkoa wa Morogoro usafiri ni shida sababu za kijiographia huwa napinga.Sababu ni kuwa hakuna anayependa wala kuhangaika kuendeleza hizo barabara Kuu za wilaya.Hii miradi mikubwa minne inayoanzishwa Dar serikali imeshindwa kuwekeza kwenye hizi barabara za Wilaya na Kuingia Mikoani?Kuendeleza sehemu moja na kuacha zingine je unafikiri watu wataacha kukimblia Dar?Hawataacha kamwe..kwa kuwa WANAKARIRI TU DAR DAR DAR..
 
Wasafiri poleni , Jua likipiga masaa 4 hadi 5 mutaendelea na safari. Siku nyengine kumbuka kubeba chakula na maji ya kutosha.
 
barabara kama hii lazima ukianza safari lazima ukumbuke kubeba unga na dagaa.
 
Umeongea baba,huko nilisoma huko.Wakati wa kwenda shule kipindi kama hiki lazima ulie.Kiangazi nayo...Wacha ijengwe dar inatosha wote tutaenda kukaa Dar tucheze tu Pool table.Ukisikia Mkoa wa Morogoro usafiri ni shida sababu za kijiographia huwa napinga.Sababu ni kuwa hakuna anayependa wala kuhangaika kuendeleza hizo barabara Kuu za wilaya.Hii miradi mikubwa minne inayoanzishwa Dar serikali imeshindwa kuwekeza kwenye hizi barabara za Wilaya na Kuingia Mikoani?Kuendeleza sehemu moja na kuacha zingine je unafikiri watu wataacha kukimblia Dar?Hawataacha kamwe..kwa kuwa WANAKARIRI TU DAR DAR DAR..
ni uvivu wa kufikiri na misifa ya kijinga
 
13100674_1097528323642904_6105108036966424269_n.jpg

"Safari ya kutoka Ifakara kwenda wilaya za Malinyi na Ulanga ni ngumu kuliko unavyoweza kuelezea, kukwama barabarani na kulala njiani sasa ni vitu vya kawaida kama inavyoonekana hapa"

13151640_1097528263642910_8365647963832052682_n.jpg

Baadhi ya Abiria wakijishughulisha namna ya kujinasua kwenye eneo hilo kutokana na hali halisi ionekanavyo pichani.

13164210_1097528353642901_7049422134848232614_n.jpg

My take,
Wabunge wa majimbo hayo chukueni hatua kwa kushirikiana na serikali kunusuru hali hii.
Mwaka 2016 unaleta leo?
 
Tuliwaambia chagueni CHADEMA. walugulu wabishi washamba sana mlikataa mkatuona majuha sasa mnaonaaa???? safi sana CCM wasomesheni number piga kazi miaka mingine mitano. tuungane tuandamane hamtaki. wacha mukome!!!
 
Dsm barabara ya mwendo kasi ( sijui mwendo kasi kwenda wapi ? ) , wakati vijijini mahandaki ya kutisha !
Hujui kuwa mjini wanawaogopa? hasa Ilala na Kinondoni!! kijijini wengi mamburulaa!!! hayajui zuri wala baya, ndiyo maana wajanja wanahamia mjini, labda Moshi na Tarime tu wanajitahidi kuwafikiria! wale wa sehehmu hizi wamepinda hawakawii kukupiga mawe na msafara wako wa mbomu ya machozi. hata kukuzomea!
 
Tuliwaambia chagueni CHADEMA. walugulu wabishi washamba sana mlikataa mkatuona majuha sasa mnaonaaa???? safi sana CCM wasomesheni number piga kazi miaka mingine mitano. tuungane tuandamane hamtaki. wacha mukome!!!
Walichagua ila KURA zao ziliibiwa...
 
13100674_1097528323642904_6105108036966424269_n.jpg

"Safari ya kutoka Ifakara kwenda wilaya za Malinyi na Ulanga ni ngumu kuliko unavyoweza kuelezea, kukwama barabarani na kulala njiani sasa ni vitu vya kawaida kama inavyoonekana hapa"

13151640_1097528263642910_8365647963832052682_n.jpg

Baadhi ya Abiria wakijishughulisha namna ya kujinasua kwenye eneo hilo kutokana na hali halisi ionekanavyo pichani.

13164210_1097528353642901_7049422134848232614_n.jpg

My take,
Wabunge wa majimbo hayo chukueni hatua kwa kushirikiana na serikali kunusuru hali hii.
Wabunge wachukue hatua gani nao hawana mamlaka yeyote kikatiba!!!!! Watakachofanya ni kwenda kubembeleza waZiri au katibu mkuu na huko inategemea anayepeleka shida ni mweupe au mweusi!! Walisema tuwe na serikali za majimbo tupeleke shida zetu kwa magavana tuliowachagua wenyewe, wakasema italeta mgawanyiko, tuendelee kuomba hisani tu.
 
we unasema ifakari kote huko, njoo barabara ya makongo juu! hapa karibu kabisa na ikulu, kama yamechimbwa madimbwi ya kufugia samaki
 
Back
Top Bottom