PICHA: Edward Lowassa akiwa na wajukuu zake katika matembezi ya jioni

Njaa itakuuwa Mwanahabari Huru.Hii sio habari ya kuleta humu ungepeleka jukwaa la watu maarufu jamaa ni maarufu kwa ufisadi.
Lowassa hawezi kuwa Rais wa Tanzania,labda awe rais wa Yanga hapo sawa.
Na wewe roho mbaya itakuuwa kwa umbulula wako huo. acha mzee wa watu ale raha
 
Dah noma sana, sipati picha angekuwa Rais huyu jamaa, kwanza ananikoshaga mavazi mzee anajua aisee.

Mh Rais nilikupa Kura yangu na bado ni Rais wa moyo wangu.

Maisha Na Afya Njema kwako
Long live Mr President
naamini angefanya vizuri kuliko.
 
Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mh. Edward Lowassa akiwa na wajukuu zake katika matembezi ya jioni.

Lowassa yuko shambani kwake Handeni mkoani Tanga kwa mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka.

View attachment 450659
View attachment 450660
waliosema atakufa, wameshakufa karibia wote. waliosema anaji..........sasaivi hata hawasikiki walipo, si ajabu wanaumwa huko kwao na hawatasikika tena. waliomtukana matusi ya nguoni kama vile wema sepeti, wanatafuta watoto hadi kwa waganga wa kienyeji na kuingizwa mavyuma na madocta wenye certificate kama mwaka wakati lowasa ana watoto na hadi wajukuu hapo.
 
Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mh. Edward Lowassa akiwa na wajukuu zake katika matembezi ya jioni.

Lowassa yuko shambani kwake Handeni mkoani Tanga kwa mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka.

View attachment 450659
View attachment 450660
Kwa mahaba uliyonayo kwa hilo t.a.pe.l. la siasa utatuletea na pic zake akitoka kuk.....
 
Lowasa hawezi kuwa rais wa nchi hii haitatokea, ataendelea kuwa waziri mkuu aliejihuzuru kwa kashfa ya ufisadi.
alistahili kuwa rais, lakini ameshachelewa kwa sasa. kwa historia ya tz, hakuna rais atatumikia miaka mitano, lazima iwe kumi, na ikiisha hiyo mzee atakuwa na umri mkubwa sasa kutomfanya asiwe na uwezo tena wa kugombea. ila katika maisha yake, hatamsahau baba rizmoko. naamini ni fundisho kwetu pia, usiamini sana rafiki yako wa damu, mwanadamu ni mwanadamu tu anaweza kukugeuka muda wowote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom