Silasy
JF-Expert Member
- Apr 13, 2011
- 872
- 1,210
Kweli kabisa kila kitu kinakwenda na mahitaji 1965 jumla ya magari yote Dar hayakuzidi 300 na population isiyozidi laki tatu ,sasa flyover na ma interchange yakazi gani? Cha muhimu kilikuwa ni kutenga reserved space kwa upanuzi wa barabara na miundombinu mingine wakati muafaka utakapofika!Fly over hujengwa pale kunapokuwa na changamoto ya msongamano wa magari barabarani. Sio mapambo, hivyo isikuume kwa sababu sisi hiyo changamoto haikuwepo na kama ilikuwepo basi ilikuwa ni ndogo! Miaka ya 80, daladala na gari zilikuwa chache kiasi tulikuwa tunaweza hata kuzikariri!