Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,732
- 13,485
Picha 15 za hafla ya Mazishi, Dua na Sala ya mwisho kwa Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi
Huyu Mzee namkubali sana sana ana hekima sana halafu Hana makuu wala usanii.Namwona Mzee Warioba kwa mbaali akikumbuka mengi.
Mbona sijaona kenge yoyote toka CDM?Picha 15 za hafla ya Mazishi, Dua na Sala ya mwisho kwa Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi
View attachment 2922224View attachment 2922225View attachment 2922226View attachment 2922227View attachment 2922228View attachment 2922229View attachment 2922230View attachment 2922231View attachment 2922232View attachment 2922233View attachment 2922234View attachment 2922235View attachment 2922236View attachment 2922237View attachment 2922238View attachment 2922239
Mzee Mwinyi ndiyo alianza kumfundisha Uongozi wa ngazi ya juu laigwanani ni jambo jema kurudisha shukurani na kutambua .View attachment 2922900
Mbowe Lowassa hakwenda au?
Mzee Warioba namuona hapo. Mwana CCM kindakindaki kama Makonda. Wenyewe CCM wanapendana sanaNamwona Mzee Warioba kwa mbaali akikumbuka mengi.
Ccm wanapendana? Hawaachiani maji mezaniMzee Warioba namuona hapo. Mwana CCM kindakindaki kama Makonda. Wenyewe CCM wanapendana sana
Sawa hilo linaeleweka; kinachonishangaza Mbowe Lowassa hayajui hao au ubin wa Lowassa uliisha baada ya kula nyama Monduli?Mzee Mwinyi ndiyo alianza kumfundisha Uongozi wa ngazi ya juu laigwanani ni jambo jema kurudisha shukurani na kutambua .
Kumbe wanatuhadaa, Mungu atawashuhulikia wanaohadaa wenzao.Ccm wanapendana? Hawaachiani maji mezani