Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 751
Dar nchi kwa ujumla neema ila nchi imejaa mafisadi
@EL Toro & Eglypz mnatumia camera aina gani ni zile professional kama EOS ,SLR au ni hizi za kawaida na je kuwa mpiga picha mzuri lazima uwe na hizo camera wanazotymia ma pro ,je hivi vidigital camera vya kawaida huuzwa mpaka tsh 350,000 vinafaa kwa shughuli za kupiga picha nzuri hasa kama ni kwa ajili ya kuuza,pia nimeona wapiga picha wengi kwenye sherehe mbalimbali kama vile harusi ,graduation hupiga picha hapo hapo kwenye tukio na muda si mrefu unakuta ziko tayari je wanafanyaje, thx wakulu
Hii picha nimeipiga muda mfupi uliopita hiyo ni car park ya kati ya jengo la international house na Southern Sands hotel Dar
kwanini tunafeli kwenye uongozi wa hizi serikali zetu? uchumi mnao mnaukalia.Nalog off
Kama msitu wa Minziro, kule mkoani kagera.
Hii imepigwa kutoka kwenye chopper kwenye misitu ya congo...DRC...U can see natural resources ambayo wanayo hawa jamaa.